Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wkenya ni wajinga sana kazi yao kuongea na misifa mingi isio wafaa...
mjee mtembelee mwanza .. sabasaba road to buswelu ndio utajua Tanzania ilivyo na nyumba nzuri za kisasa ambazo wananchi wamejenga kwa pesa zao tunazidi kuwashangaza muwe mnatembea mnaona sio kuongea tu,, wakenya mnaiona TZ kama ya 2003 No mje TZ tuwafundishe namna ya kujenga majengo imara hahahhahaaaa naipenda tz sana mie.. na meza inazidi kuwapindukia wakenya mnafail kila kitu aseeeeeeeeeee mnatia haibu sna nyie
 
Na wakipata naomba unitag na mm nione maajabu ya musa na firauni


Kwenye sekta ya afya tuko mbali sn kwa ss, na mm nadhani tusiwe tunajilinganisha nao mana tumewaacha mbali mno yn ni sawa na man city ijilinganishe na Gor Mahia, ofcoz kuna vitu hatupaswi kujilinganisha na nchi yoyote Africa mashariki hususan SGR, public transport service, Electricity, health sector, bridges, airports, bus terminals, markets, tourism industry, food availability yn hizi ni sector ambazo ni aibu kuanza kujilinganisha na hivi vinchi vya Africa mashariki na kati ni aibu.
 
_20221018_224058.JPG


_20221018_224219.JPG


_20221018_224409.JPG
 
Sehemu pekee ambayo Wakenya wanaweza kujilinganisha na Tz ni kwenye real estate ambapo japo tumewazidi kwa gape la $3b lkn kdg wanaweza kujilinganisha na sisi na hata hivyo Dodoma inakwenda kukata mzizi wa fitina soon.
maji marefu awawez ogelea hao watto
 
And your private hospitals are disgusting. 😀 😀

Nchi yoyote ya watu wazima na wenye afya njema za ubongo mambo nyeti kama Healthcare service provision, Education, Power Generation etc remains a state responsibility.
Otherwise that’s a failed state and I bet politicians are the owners of those healthcare institutions
 
Back
Top Bottom