Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,720
- 107,165
Electrified SGR ya Tz ndiyo SGR ndefu zaidi Afrika na one of the longest electrified SGR in the world unategemea itakuwa na overpass na underpass mbili kama za diesel upgraded MGR yenu?post mnangoja nini? hii tz ama kuna nyingine? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tunaeza rudia battle ya jkia vs jniaMpumbavu anafananisha kajengo kamoja kame pigwa make-ups na JKIA.., aulize baba levo.., from 4:16...,
Mpumbavu anafananisha kajengo kamoja kame pigwa make-ups na JKIA.., aulize baba levo.., from 4:16...,
The largest in the region.? 🤷
University of Dasilinga 💥
Hebu tazama kwann tanzania inashinda vitu muhimu zaidi kuliko nyinyi ww huogopi au😂😂😂
Munaweza kujionea uchafu maana yake nn 😂😂😂
Paa lake kwa kweli halridhishi macho, labda watakachoweka hapo chini na kioo kinaweza compensate [emoji23]
Huu mradi unakalisha vimiradi vyote vya kunyaland,sipati kunyan vile wangekua wanatamba humu iwapo ndio ungekua mradi wao
Hiyo mifuniko ya hizo chemba wakunya wameiiba kupata vile vinondo,ile nchi nje kali sanaUkiwa Nairobi..unaweza tumbukia shimoni mda wowote[emoji23][emoji1787]
Wanajiita most developed city...sijui developed kiaje
NairobiView attachment 2389411View attachment 2389412View attachment 2389413View attachment 2389414