Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila anayepewa tender anafungwa specifications za mteja ikiwemo standards zinazohitajika! Hii kampuni inafanya economic sabotage!

Kampuni B imesema itajenga kwa 450 kwa standard zile zile alizosema kampuni A na C hapo lazima ashinde tender.
Bahati mbaya sana baadhi ya wanaopitisha hayo mamikataba wanaangalia gharama.
 
Nipo Mloganzila. Hii hospital nzuri na kubwa sana. Ila naona bado haijachangamka kujaa watu kama ya Muhimbili, Upanga
20221018_091116.jpg
20221018_091101.jpg
20221018_091058.jpg
20221018_091428.jpg
20221018_091444.jpg
 
Electrified SGR ya Tz ndiyo SGR ndefu zaidi Afrika na one of the longest electrified SGR in the world unategemea itakuwa na overpass na underpass mbili kama za diesel upgraded MGR yenu?
50 years mbele.., yaani ndoto ndio unaongelea, ni vizuri kuota 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Serikali ikitangaza tender, atakayeshinda tender ni yule wa gharama ya chini.
Nina supportive documents baadhi hapa ila maadili ya kazi hayaniruhusu kupost.

Mfano tender ikitangazwa halafu;
Kampuni A gharama za kujenga = 500
Kampuni B gharama za kujenga = 450
Kampuni C gharama za kujenga = 650

Atakayeshinda tender na kupewa ni Kampuni B.
Duh!ila wale strabag sidhani kama walishinda kwa unafuu,jamaa kazi yao nzuri miaka karibia 8 now ila barabara na vituo bado viko sawa
 
Serikali ikitangaza tender, atakayeshinda tender ni yule wa gharama ya chini.
Nina supportive documents baadhi hapa ila maadili ya kazi hayaniruhusu kupost.

Mfano tender ikitangazwa halafu;
Kampuni A gharama za kujenga = 500
Kampuni B gharama za kujenga = 450
Kampuni C gharama za kujenga = 650

Atakayeshinda tender na kupewa ni Kampuni B.
But cheap is very expensive bro. Ndicho wanachokisema hapo juu.!!
 
jinyonge ufe bana ama zoea maumivu mapema 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Hata ukalete katoto kadogo kafanye tathmini ya modernity among those two facilities katakucheka 🤣🤣, JKIA ni lidubwana la kizamani mzee no need to argue
 
Kumbe serikali imeamua kuwa serious bhana kwenye masuala ya real estate development 👇. Wakenya mbona watakimbia humu, mana hiyo ndio ilikua comfort zone yao ya kujidai iliyobakia 🤣🤣, we takin over karibu kila secta

Mumeanza kukubali 😁😁..

Na bado huu ni mwanzo tuu 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221018-113244.png
    Screenshot_20221018-113244.png
    202.3 KB · Views: 8
Back
Top Bottom