Busan
JF-Expert Member
- Aug 19, 2022
- 644
- 736
Nilikua nakuona mtu wa maana ila hapa nimekuvua nyota, natamani Hosp kama hii ziendelee kujengwa maeneo ya Vijijini kufikia Watz wasio na uwezo wa kusafiri mbali, ikiwezekana kusiwe na Hsp moja ya Taifa ziwepo hata 3Najaribu kuwaza na kamasters kako unaenda kufanya kazi chato...Apo ukishatoka kazini unaenda wapi?mji uko wap apo [emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787]