Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Eti africa leading airline ni Kenya airways 😅😅 nmecheka mpaka basi hvi izi kura wanapiga kina naniHebu tazama kwann tanzania inashinda vitu muhimu zaidi kuliko nyinyi ww huogopi au😂😂😂
Eti africa leading airline ni Kenya airways 😅😅 nmecheka mpaka basi hvi izi kura wanapiga kina naniHebu tazama kwann tanzania inashinda vitu muhimu zaidi kuliko nyinyi ww huogopi au😂😂😂
Wananunua hzo kura lakini hakuna kitu hapo 😂😂😂Eti africa leading airline ni Kenya airways 😅😅 nmecheka mpaka basi hvi izi kura wanapiga kina nani
me kama mkenya naona wivu tyu jmon
Ningefurahi sana zikijengwa kila mkoa za hadhi hii hasKwa hiyo hukutaka hospitali ijengwe? Hospitali ni huduma muhimu! Tena hata Kagera na Kigoma wanahitaji hospitali ya level hii! Pia mikoa mingine.
Anawaza rushwa tu kutoka kwa wagonjwa, sasa nimeelewa kwa nini huwa ana chuki na aliyepitaPamoja na usomi wako lakini bado umeonyesha ni namna gani akili yako ilivyo finyu, kufanya kazi vijijini kunaweza kuwa potential zaidi kuliko kufanya kazi mjini, since Mtwara kuna Ardhi yenye rutuba na inasapoti kilimo chochote (ukitaka mali utazipata shambani) uzuri zaidi Mtwara ni mkoa ambao hauko mbali na DSM pia, Upande wa chato alkadhalika ni wilaya inayopakana na mikoa miwili Geita na Bukoba na pia haipo mbali sana na Mwanza, kwahyo kwa kilimo+biashara vyote vinatoa .. Halafu mzee wangu, unavyo discourage watu kufanya kazi vijijini eti kwa kigezo cha hawatotajirika 🤣🤣 huo ni utahira, since udakitari ni wito, uko pale ili kuihudumia jamii, mlisomeshwa kwa mikopo (pesa za watanzania walipa kodi) mpaka mkamaliza, leo mkiitwa mkawahudumie kuokoa maisha yao mnakataa, kwa kigezo eti ni kijijini hakuna maisha mazuri🤣🤣.. mtanzania wa aina yako hautufai wewe kwenye mambo ya kuwa civil servant .. huna uzalendo, wewe ni mtanzania mshenzi kabisa wewe
Upuuzi wa waliowapa tender!Hivi sababu zipi zilifanya tender ya brt phase 2 wasipewe tena strabag kutokana na kazi nzuri waliyoionyesha kwenye phase 1?
Inawezekana ilikua plan ya kubana matumizi matokeo yake material ovyo na ujenzi umechukua muda mrefu,hii ndio ya kuitwa bure ni ghaliUpuuzi wa waliowapa tender!
Hiyo kampuni ya Kichina ilitokea Kunyaland! Huko ilikuwa ikijenga barabara! Kwahiyo wame-import standards za barabara za Kunyaland..Inawezekana ilikua plan ya kubana matumizi matokeo yake material ovyo na ujenzi umechukua muda mrefu,hii ndio ya kuitwa bure ni ghali
Russia wanacheza vita hii kijanja sana . Hata mambo ya covid 19 yamepotezewa huko duniani. Kweli njaa haina baunsa . Njaa huwezi ficha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi sababu zipi zilifanya tender ya brt phase 2 wasipewe tena strabag kutokana na kazi nzuri waliyoionyesha kwenye phase 1?
Mengine ysnabaki kuwa Siri suitom/JICAUpuuzi wa waliowapa tender!
Ila anayepewa tender anafungwa specifications za mteja ikiwemo standards zinazohitajika! Hii kampuni inafanya economic sabotage!Serikali ikitangaza tender, atakayeshinda tender ni yule wa gharama ya chini.
Nina supportive documents baadhi hapa ila maadili ya kazi hayaniruhusu kupost.
Mfano tender ikitangazwa halafu;
Kampuni A gharama za kujenga = 500
Kampuni B gharama za kujenga = 450
Kampuni C gharama za kujenga = 650
Atakayeshinda tender na kupewa ni Kampuni B.
Walio wapa tender karibu wote hawapo,lakini BRT phase I ni standard zaidi japo nayo ilichukua muda mrefu.Shida nyingine Toka kwa strabarg ni kuwa wamekua na vitendea nje ya mkataba wanawapa material watu wenye ujenzi mwingine kwenye majengo,na wale wa tender za Tarura hivi navyo vinaongeza mudaIla anayepewa tender anafungwa specifications za mteja ikiwemo standards zinazohitajika! Hii kampuni inafanya economic sabotage!