Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yeah Ruto ni handsome huko kwao [emoji23][emoji23] the rest are old ass neanderthals, binadamu wa zama za mawe![emoji23]

dah! Mungu atusamehe dhambi zetu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukiona Mikunya imekamia jambo moja yote kwa muda mrefu ujue kichapo kimeingia kumoyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dodoma KO got them unprepared [emoji23][emoji1787]
Umewachanganya sn na aerial view ya Dodoma, na kilichowapagawisha zaidi ni jinsi mji wetu tulivyoupanga yn unatengeneza ua flani hv wao ma estate yao yamekaa kimstari kama shule ila sisi tumefanya kama miji ya kisasa inavyojengwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe mama yako badala anyonyeshe wadogo zako maziwa anaenda kunyonyeshea mbwa wa waarabu ndio maana mnatoka hamna akili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ooohhh nice upper cut and down goes Don YF [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
US vice president's Photographer Polly Irungu
Kenyans are hardworking thats a factView attachment 2385396View attachment 2385394View attachment 2385395
Hakuna nafasi ya kuongopa hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20221013-055409.jpg
 
Nimesikia huyu jamaa anahodhi ardhi kubwa Tz, ni kweli?
Sina hakika mkuu. Ila kama ana ardhi kubwa wacha awe nayo tu mana Tz ardhi ni kubwa tuliilinda, wao ardhi wamewapa wazungu wanalima maua so wacha jamaa atengeneze fursa kwa watz cz hata pesa zake ataziacha huku huku si unajua jamaa mjanja mjanja huyo hawezi kuweka pesa zake Kenya.
 
Speaker Danganyika land.. Sura mbaya but namheshimu yeye ni speaker, cheo kikubwa hicho
FB_IMG_16646430686242197.jpg
 
Kuhusu Dodoma,Ndio mji unaoendelezwa kwa nguvu kubwa na serikali kwa sasa nyuma ya Dar

Majengo pekee hayatoshi kupendezesha Dodoma,Kazi kubwa ipo kwemye miundombinu yake ya msingi kama barabara, sewage system,upatikanaji wa maji ya uhakika,umeme nk..

Huduma za kijamii nazo kama shule bora,hospital, masoko na maeneo ya manunuzi

Kwa hatua hizi zinazochukuliwa basi sina shaka kusema Dodoma ni moja ya miji inayoweza kubindua meza kwa haraka sana ndani ya kipindi kifupi kutoka leo..

NB;Sijalinganisha Dodoma na miji mikubwa ambayo imejengwa kwa miaka zaidi ya 60 uko Nyuma kama Dar ama Nairobi!!
 
Wacha kujitia hamnazo, Dodoma mitaani haiwezi fikia hizi levels, tunaangalia sehemu yote, haupati uswazi ama ushamba, kila kitu kinajengwa kwa mpangilio, hiyo ndio inaitwa kukua organized, unadhani sijui Dodoma? Una screen shot few areas kupotosha tu na kujiliwaza.., nimeweka clips chache ya sehemu tofauti tofauti Kenya.., tokea Kajiado hadi Eldoret.., hiyo ndio mtindo ya Kenya, organization.., nyie bado mko porini bana., pateni masomo kutoka Kenya, nyenyekea usione haya, umefinywa penyewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂,
Umeonyeshwa ka section kadogo ka Dom tu una povuuka ,🤣🤣. Eti na wewe unaijua Dom, unailinganisha residential buildings ndani ya Dom mpaka na village centers zenu 🤣, ati kisa haupendi kuskia Dom ikipewa sifa zake.. utakufa kwa roho mbaya we nyang'au. Huwezi badili ukweli kwa vimaneno vyako tu
 
Majengo chakavu ndani ya CBD kuondolewa [emoji116].
Dah angalau sasa nitapata ahueni mana hakuna kitu kilikuwa kinanikera kama nikiona majengo mabovu mjini inanikera sana, inashangaza hata rangi kupigwa hayapigwi, unakuta mji mzuri unapendeza lkn jengo moja tu linaharibu kila kitu. Kweli watanzania tumeamua this time.
 
Back
Top Bottom