Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_1601423377270.jpg
 
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_1596488781856.jpg
 
Nimeona kumbe tabia mbaya ya uchafu ipo kwenye damu na haina financial status wala position, imagine hii ni meza aliyokaa makamu wa Rais wa nchi 🤮🤮🤮🤮🤧

View attachment 2382314

Man, but, the level and feeling of life ya huyo mwenye hio chopper imepark hapo kwa nyuma is superb🙌.. wengine wanahangaika na range rovers or VX..huyo mwana kapark chopper 🤣
 
But you were not in his shoes ujue what he passed through , let him console himself
Absolutely,but he has to understand he is "someone" in the office of Republic of Kenya,he should hurl such stupid words to fellow Politicians.
 
Wakunya hapa mmepata raisi ila muache ukabila tuu vyuma kama hvi ndio tunavitaka hapa Afrika ndio izidi kusonga mbele ila asiishie kwenye maneno tuu

Wakunya hapa mmepata raisi ila muache ukabila tuu vyuma kama hvi ndio tunavitaka hapa Afrika ndio izidi kusonga mbele ila asiishie kwenye maneno tuu

Yah jamaa anaonekana yuko vizuri kichwani, ila viongozi kama hawa huwa hawadumu na isije ikawa ni nguvu ya soda tu mana jamaa mwizi mwizi huyu tusisahau.
 
Man, but, the level and feeling of life ya huyo mwenye hio chopper imepark hapo kwa nyuma is superb🙌.. wengine wanahangaika na range rovers or VX..huyo mwana kapark chopper 🤣
Hiyo ni time bomb 💣⌚ saa yoyote inadondoka halafu hata hawana PA kwenda nayo sababu nchi yao kama mtu anaishi Nairobi option nyingine ya kutoka out ni Mombasa au coast, ukitoka huko hakuna eneo lingine kunyaland la kwenda sababu pengine pote bandits hawatukuacha mzima 🤣
 
Back
Top Bottom