NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,054
- 19,261
Kama HawaiiHii ya kilifi inawleza kuwa ngapi per night? View attachment 2384402View attachment 2384403View attachment 2384404View attachment 2384405
Kama HawaiiHii ya kilifi inawleza kuwa ngapi per night? View attachment 2384402View attachment 2384403View attachment 2384404View attachment 2384405
Dodoma oblique view shows its the most organized city in Africa
Halafu naona campaign ya kupanda miti imeanza kujibu, imagine hapa ni kiangazi
Atakumbukwa kwa mema mengi aliyoyatenda kwa Taifa letu.Aliwaamsha waliokuwa wamelala, walioona hayawezekeni wamekubali kuwa inawezekana.Inapendeza sana ukizingatia muda wa miradi haina hata miaka 10 tangu ianzishwe. Pongezi kwa serikali kwa miradi yote iliyofanyika na inayoendelea kufanyika.
Sera ya upandaji miti isisahaulike, hakuna kupumzika. Kijani ikikolea kuna watu watesema hapa siyo Tanzania.
Ni kweli.Sasa wapeleke wakufunzi wakutosha hao wanafunzi na vifaa ,upande wa mazingira wkao vizuri
Why are you showing us shacks?Linganisha na hii, mana nahisi kwa wivu ulionao hata video hujaangalia, mm nakuwekea picha sasa uumie vzr [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 2385009View attachment 2385010View attachment 2385011View attachment 2385012View attachment 2385013View attachment 2385014
Roho mbaya inakusumbua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama hii ndio organization neno organized litolewe kwa dictionary.
Mmeweka effect ili paonekane pana majengo mengi but reality [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nafikiri leo wanuka mavi kuna kitu mmejifunza kuhusu Dodoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Why are you showing us shacks?
The reason I chose to ignore the blind patriots..., bado wako down bana, never experienced life in an organized place, wengi hawajaishi in anything called organization maishani mwao, ni uswazi ama village tokea azaliwe, ndio maana aerial clip inawachanganya wanashangaa shangaa kishamba, yet haiwezi fika levels za Kenya, huku almost every town kuna organization.., ushamba😂😂😂😂😂😂Kama hii ndio organization neno organized litolewe kwa dictionary.
Nilijua tu kwamba hukuangalia video ila now umetazama eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]The reason I chose to ignore the blind patriots..., bado wako down bana, never experienced life in an organized place, wengi hawajaishi in anything called organization maishani mwao, ni uswazi ama village tokea azaliwe, ndio maana aerial clip inawachanganya wanashangaa shangaa kishamba, yet haiwezi fika levels za Kenya, huku almost every town kuna organization.., ushamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jama ameweka picha za Westlands wewe una circle old CBD tena kwa umbali sana, ujinga ni laana kilaza😂😂😂😂😂😂😂😂, kindly circle Westlands pia na upoerHill tuone.., na Eastleigh usisahau, Mimi nitakuletea Dar developed area yote circled in one place.., ngoja miaka hamsini mbele Kisha uje, unaumwa kweli, it's painful, ila vumilia😂😂😂😂😂😂Mmeweka effect ili paonekane pana majengo mengi but reality [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2385150