Wacha kujitia hamnazo, Dodoma mitaani haiwezi fikia hizi levels, tunaangalia sehemu yote, haupati uswazi ama ushamba, kila kitu kinajengwa kwa mpangilio, hiyo ndio inaitwa kukua organized, unadhani sijui Dodoma? Una screen shot few areas kupotosha tu na kujiliwaza.., nimeweka clips chache ya sehemu tofauti tofauti Kenya.., tokea Kajiado hadi Eldoret.., hiyo ndio mtindo ya Kenya, organization.., nyie bado mko porini bana., pateni masomo kutoka Kenya, nyenyekea usione haya, umefinywa penyewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂,