Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa

95eed98411fa4140b36aeb839da5eb98_275031089_737808007199654_7961511151272054020_n.jpg
 
Aisee panapendeza mno [emoji8][emoji3059][emoji3059][emoji8][emoji1241][emoji91][emoji91]

Wakenya wotee na Watz mliodhani tunatania kuhusu Dodoma naomba kwa heshima na taadhima muangalie hii video alafu mniambie ni mji gn hapa EA unaweza kuwa organized kama Dodoma. Naomba muangalie na ukubwa alafu na jinsi ulivyopangika.

Cc wanuka mavi wotee

Don YF naomba angalia alafu bila maumivu au kulia lia naomba utoe coment hata kama umeumia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani unashangazwa na kitu kidogo kama Dodoma, organization gani hiko hapo eti? just scattered residential houses, town tunaijua..., tazama Kiambu kisha linganisha, uwe unachunguza na kulinganisha kabla ya kukurupuka..,

Ata haiwezani na Kajiado county..., yaani nyie bado sana.., ikija organization tuliwatangulia., just watch pole pole..,

ama just Ruaka.., kasehemu kule Kiambu..,

Eldoret ata usiseme...,
 
Nakuru je?

See the organization.., The best 007 weka ushabiki na utani kando, just watch.., hapa maybe miaka hamsini mbele kisha mje tujadiliane, standard housing kwa ukubwa na upana..,

Nakuru, watch drone view from 9:40..., kisha watch hiyo ya Dodoma ndio uonge..,
 
Geita tu inazizima zote kama mshumaa

Screenshot_20220619-164417.png
Screenshot_20220619-164450.png
Screenshot_20220619-164518.png
Screenshot_20220619-164605.png
 
Ushabiki na kulazamisha weka pembeni.., mlileta clip ya Dodoma, aerial view from a plane, mmeona hamna kitu ukilinganisha, Tanzania subiri wakati wenu utafika tu, wala msife moyo, kiherehere ndiyo muache.., 😂 😂 😂 😂 😂
Unataka nikuletee na Singida? 😅😅😅
 
Yaani unashangazwa na kitu kidogo kama Dodoma, organization gani hiko hapo eti? just scattered residential houses, town tunaijua..., tazama Kiambu kisha linganisha, uwe unachunguza na kulinganisha kabla ya kukurupuka..,

Ata haiwezani na Kajiado county..., yaani nyie bado sana.., ikija organization tuliwatangulia., just watch pole pole..,

ama just Ruaka.., kasehemu kule Kiambu..,

Eldoret ata usiseme...,
We unaumwa wewe, yn kasehemu kadogo kamejengeka but eneo kubwa ni pori ndio ufananishe na lile eneo kubwa vile pale Dodoma? Hata kama ni wivu basi huu wako ni wakike, aya naweka picha ya nilichokiona afu tulinganishe.
Screenshot_20221012-191131.jpg
Screenshot_20221012-191052.jpg
Screenshot_20221012-191014.jpg
Screenshot_20221012-190956.jpg
Screenshot_20221012-190919.jpg
Screenshot_20221012-190902.jpg
Screenshot_20221012-190847.jpg
Screenshot_20221012-190811.jpg
Screenshot_20221012-190758.jpg
Screenshot_20221012-190715.jpg
 
Yaani unashangazwa na kitu kidogo kama Dodoma, organization gani hiko hapo eti? just scattered residential houses, town tunaijua..., tazama Kiambu kisha linganisha, uwe unachunguza na kulinganisha kabla ya kukurupuka..,

Ata haiwezani na Kajiado county..., yaani nyie bado sana.., ikija organization tuliwatangulia., just watch pole pole..,

ama just Ruaka.., kasehemu kule Kiambu..,

Eldoret ata usiseme...,
Linganisha na hii, mana nahisi kwa wivu ulionao hata video hujaangalia, mm nakuwekea picha sasa uumie vzr [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20221012-191500.jpg
Screenshot_20221012-191436.jpg
Screenshot_20221012-191429.jpg
Screenshot_20221012-191422.jpg
Screenshot_20221012-191358.jpg
Screenshot_20221012-191350.jpg
 
We unaumwa wewe, yn kasehemu kadogo kamejengeka but eneo kubwa ni pori ndio ufananishe na lile eneo kubwa vile pale Dodoma? Hata kama ni wivu basi huu wako ni wakike, aya naweka picha ya nilichokiona afu tulinganishe.View attachment 2384995View attachment 2384996View attachment 2384997View attachment 2384998View attachment 2384999View attachment 2385000View attachment 2385001View attachment 2385002View attachment 2385003View attachment 2385004
Ndio zao, vinyumba viwili vinapigwa angles zote vionekane million 😅😅😅
 
Back
Top Bottom