Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwnn mnapiga picha upande upande
tapatalk_1553113660_512x319.jpg
 
Devolution at its best…. Governors can strike international deals on their own for the betterment of their county better than any deal whole of tanzania has sealed folate

This is what Alfred Mutua wanted, the guy had made deals worth trillions but Kibaki regime frustrated the potential investors, policy yao was any major investor must come in through national govt not dealing directly with county govts, Machakos had ambitious plans that would have rivalled Konza Technopolis kama haingekua frustrated by the national govt.,
 
Nyie Magufuli city hadi October 2023 itakua tayari...kuna watu watapagawa humu ndani
Weka updates I see?.., maybe ni nyinyi mtashangazwa sana, hamjazoea complex development..,
 
Kwenye hili swala in few years hawatatusikia kabisa. plan is every region to have an airport to accomodate a q400 or atr 72

Few Towns bado Air Tanzania inasubir airports zikamilike ianze kupeleka ndege
1.Iringa u/c
2.Musoma u/c
3.Shinyanga/Kahama soon
4.Tanga ..soon to be u/c
5 Sumbawabga soon to be u/c
6.Lindi
7 .Kilwa

Mikoa ambayo i think ni muhimu kuwa na airport ni Singida tho sidhani kama itajengwa ni kama Dar na Morogoro..Morogoro will be easily served by SGR

Already flying from Dar ..Ni Arusha , Kilimanjaro, Geita ,Mwanza , Bukoba , Mpanda ,Tabora ,Kigoma, Mbeya ,Mtwara , Dodoma , Songea ,Zanzibae
Without KQ and Jambo Jet your airports are white elephants kilaza.., weka flight data uone which airlines dominates your air space and airports.., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Baada ya kijana wa m7 kutishia kuiteka Kenya,Leo amepandishwa cheo kuwa Jenerali,huu ni ujumbe Uganda inatuma kwenda Kenya,hata zile tweets,inaonekana hakuwa akituma kwa mawazo yake.


 
When I look on Google maps, Magufuli city is a tiny development. You people are making too much noise about it.
Magufuli city ni kubwa sawa na CBDs zenu zote tatu hapo Kanairo.. eneo lenye barabara zenye urefu wa 51 km .? 21 km dual carriage ways, 29 km kawaida, uite ni eneo dogo.? 😂😂😂 U must be fuckin crazy
 
Huyu wetu kila sehemu anaendaa tuu vitu havina umuhimu ni kujipeleka tuu
Acha ufala wewe,Rais Samia hajawahi fanya ziara ya hasara hata siku moja..

Mengine ni chuki binafsi zinawasumbua nyie Sukuma gang👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221004-155903.png
    Screenshot_20221004-155903.png
    128.7 KB · Views: 12
Back
Top Bottom