Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwenye airports hatuna competitor

Kwenye hili swala in few years hawatatusikia kabisa. plan is every region to have an airport to accomodate a q400 or atr 72

Few Towns bado Air Tanzania inasubir airports zikamilike ianze kupeleka ndege
1.Iringa u/c
2.Musoma u/c
3.Shinyanga/Kahama soon
4.Tanga ..soon to be u/c
5 Sumbawabga soon to be u/c
6.Lindi
7 .Kilwa

Mikoa ambayo i think ni muhimu kuwa na airport ni Singida tho sidhani kama itajengwa ni kama Dar na Morogoro..Morogoro will be easily served by SGR

Already flying from Dar ..Ni Arusha , Kilimanjaro, Geita ,Mwanza , Bukoba , Mpanda ,Tabora ,Kigoma, Mbeya ,Mtwara , Dodoma , Songea ,Zanzibae
 
Unajua kitu kimoja ni kwamba tunapiga hatua,wastani wetu ulikua 850B tsh mwaka 2015,Mzee baba JPM akatusogeza hadi 1.5Trillion kwa mwezi, Kwa sasa tunakusanya wastani wa 1.966 trillions kwa mwezi...
Hatua inaonekana...Walau kwa mwaka huu annual revenue itafika $10B kwa mwendo huu
Thia year i thin they will hit 24 trillion to 25
 
Tena kwa nnavyowajua waganda wanaeza okota tu vijana wa hovyo mitaani kuvamia na kuteka Kanairo in just the first couter of them 2 weeks Muhoozi was talking about .. 🤣🤣🤣
💩WWE!!!
Tulimwondolea Pokot wetu wwliokuwa wakiwaibia ngombe Uganda juzi,walijaribu kupiga hao bandits wakashindwa ikabidi sisi Wakenya tubembeleze pokot bandits!!

KENYA CAN KIDNAP ALL East Afrikan countries together!!!tunaweza mpaka kumlisha museveni mavi!!!!
 
Kwenye hili swala in few years hawatatusikia kabisa. plan is every region to have an airport to accomodate a q400 or atr 72

Few Towns bado Air Tanzania inasubir airports zikamilike ianze kupeleka ndege
1.Iringa u/c
2.Musoma u/c
3.Shinyanga/Kahama soon
4.Tanga ..soon to be u/c
5 Sumbawabga soon to be u/c
6.Lindi
7 .Kilwa

Mikoa ambayo i think ni muhimu kuwa na airport ni Singida tho sidhani kama itajengwa ni kama Dar na Morogoro..Morogoro will be easily served by SGR

Already flying from Dar ..Ni Arusha , Kilimanjaro, Geita ,Mwanza , Bukoba , Mpanda ,Tabora ,Kigoma, Mbeya ,Mtwara , Dodoma , Songea ,Zanzibae
Ubaya mnazijenga lakini watanzania hawana pesa za kutumia hizo airports.
 
Wenyewe wanajua pokot bandits ni wanoma 😂😂😂😂
Their naval special warfare
kwani wa Pokot ni Watanzania ama Kenyan State Citizens!!!!
I repeat Kenyan Citizens!👌
Mpaka Mungiki,chinkororo,Alshaabab wa Kenya,Olmoran,Gaza,wote ni waKenya!!!
Wen any country tries that wat Museveni says those Kenyans bandits will be the first ones to protect Kenya!!!!👌
 
💩WWE!!!
Tulimwondolea Pokot wetu wwliokuwa wakiwaibia ngombe Uganda juzi,walijaribu kupiga hao bandits wakashindwa ikabidi sisi Wakenya tubembeleze pokot bandits!!

KENYA CAN KIDNAP ALL East Afrikan countries together!!!tunaweza mpaka kumlisha museveni mavi!!!!
Hawa rebels sababu wapo kwenye eneo kubwa na wameanza kudedisha kdf toka zamani

Hawa rebels sababu wapo kwenye eneo kubwa na wameanza kudedisha kdf toka zamani

Alafu jamaa kawadhalilisha aise😆😆😆

IMG_20221003_191228.jpg
 
kwani wa Pokot ni Watanzania ama Kenyan State Citizens!!!!
I repeat Kenyan Citizens!👌
Mpaka Mungiki,chinkororo,Alshaabab wa Kenya,Olmoran,Gaza,wote ni waKenya!!!
Wen any country tries that wat Museveni says those Kenyans bandits will be the first ones to protect Kenya!!!!👌
So saivi wakati hamna tishio la kiuvamizi waendelee kudosha kdf mmoja mmoja tu? Na mbona wasiende kuua alshabab?
 
Hivi Tanzania na ukubwa wote kuna kima kweli anaweza kuleta ujinga kama kwenye ardhi yetu na vyombo vya usalama vikawq vimuangalia tu!?kunyan army linatia kinyaa kwa kweli!
Chanzo cha hao rebels eti wanalinda ng'ombe zao (vingombe vyenyewe havijai mkononi) wakati mbongo anaswaga ng'ombe elfu 5 na fimbo tu
 
Hawa rebels sababu wapo kwenye eneo kubwa na wameanza kudedisha kdf toka zamani

all they wants is to feed their cows na Kuna Drought!!!hapo ndio shida inatokea wanapeleka ngombe kwa mashamba za wenyewe ndio zisikufe na wakati huo wakikatazwa ndio noma!
Serikali ndio haijawapa Nyasi haijapanga mkakati wa kuwasaidia!!!
 
Back
Top Bottom