Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This ugandan is really making me laugh eti madam wa tanzania ni make-up tu Ananunua View attachment 2377155
tapatalk_-627129166_546x679.jpg
 
Learned while claiming taliban was stronger than the USA military

No one said Taliban is stronger than US military. I just made it clear to you about the difference between Al Shabab and Taliban. It was never easy for US army because of those who were and still are behind Taliban, the Chinese, Russians, North Korea, Pakistans, Saudi Arabians.

Immediately after their withdrawal from Afghanistan, Taliban took over.

As I earlier said, Kenyans can only run. 😂
 
Magufuli city ni kubwa sawa na CBDs zenu zote tatu hapo Kanairo.. eneo lenye barabara zenye urefu wa 51 km .? 21 km dual carriage ways, 29 km kawaida, uite ni eneo dogo.? 😂😂😂 U must be fuckin crazy
Usidhani kila mtu ni mjinga kama wewe.

111.jpg
 
Tiny development gani wanajenga kwa 900B Tshs? Majumba ya wizara 600B miundombinu kama barabara,maji,nyaya za umeme nk 300B ,we lazima utakua mjinga kama unaona izo hela ni ndogo
900B Tshs ni kama 45B Kshs pekee.
For comparison
Thika road imejengwa na Kshs, 32B kuanzia 2009 - 2012 - ingejengwa mwaka huu ingekuwa more than double hiyo pesa yani Kshs. 64B (Tshs 1.28 Trillion) na ni barabara ya 50km pekee.
Tatu City ambayo inajengwa kwa 5000 acres pekee inacost $2.5 billion - hiyo ni Kshs 302 billion ama Tshs 6.04 Trillion yani mara saba hiyo cost ya Magufuli city.
Konza City will cost Kshs 595 billion - hiyo ni kama Tshs. 11.9 Trillion - yani mara 13 cost ya Magufuli city
Nairobi expressway imecost Kshs. 97 billion - hiyo ni Tsh 1.94 Trillion yani mara mbili ya Magufuli city yet it's only a 27km road.

Naweza endelea kukutajia projects hata za hapo bongo utaona Tsh. 900 billion ni pesa kidogo sana na hazitajenga hilo jiji mnategemea. Najua wewe ni tofauti kidogo na wenzako walio na ushabiki wa kipuuzi na blind patriotism kwa hivo nitakupa google image ya Magufuli city uone jinsi ilivyo ndogo.

111.jpg

Ukiangalia kwa google maps ni only 6sq. km. Hiyo ni 1482.63 acres, yani hata hafiki 1/3 of Tatu City ambayo ni kamji kadogo tu kanakojengwa on the outskirts of Nairobi.
 
Baada ya kijana wa m7 kutishia kuiteka Kenya,Leo amepandishwa cheo kuwa Jenerali,huu ni ujumbe Uganda inatuma kwenda Kenya,hata zile tweets,inaonekana hakuwa akituma kwa mawazo yake.

Haya sasa ngoja tuendelee kuona hizi jokes zinaishia wapi
 
900B Tshs ni kama 45B Kshs pekee.
For comparison
Thika road imejengwa na Kshs, 32B kuanzia 2009 - 2012 - ingejengwa mwaka huu ingekuwa more than double hiyo pesa yani Kshs. 64B (Tshs 1.28 Trillion) na ni barabara ya 50km pekee.
Tatu City ambayo inajengwa kwa 5000 acres pekee inacost $2.5 billion - hiyo ni Kshs 302 billion ama Tshs 6.04 Trillion yani mara saba hiyo cost ya Magufuli city.
Konza City will cost Kshs 595 billion - hiyo ni kama Tshs. 11.9 Trillion - yani mara 13 cost ya Magufuli city
Nairobi expressway imecost Kshs. 97 billion - hiyo ni Tsh 1.94 Trillion yani mara mbili ya Magufuli city yet it's only a 27km road.

Naweza endelea kukutajia projects hata za hapo bongo utaona Tsh. 900 billion ni pesa kidogo sana na hazitajenga hilo jiji mnategemea. Najua wewe ni tofauti kidogo na wenzako walio na ushabiki wa kipuuzi na blind patriotism kwa hivo nitakupa google image ya Magufuli city uone jinsi ilivyo ndogo.

View attachment 2377220
Ukiangalia kwa google maps ni only 6sq. km. Hiyo ni 1482.63 acres, yani hata hafiki 1/3 of Tatu City ambayo ni kamji kadogo tu kanakojengwa on the outskirts of Nairobi.
Leta hiyo tatu tuone 🤣🤣🤣.. Unazungumzia vitu ambavyo havipo.?
 
Ndio jana nilimuambia mwamba hapa, huyo dogo ndio muongea hovyo, ila always on point na deliberate. Aongei toka chooni anasema anachokijua fika na kwa undani na ni discussions wanazokuwa nazo na wenziwe, baba yake.

Huwezi sikia aiongea ujinga huu dhidi ya Tanzania. walio kwenye game la kijeshi sisi wanatutambua vyema na huwa hawapendi mchezo na MOTO, P***sy!

Aiseee! Anaongea sana,bado mtu anataka kuniaminisha kwamba ni utani tu

Jana kaongea kama Kamanda wa jeshi la nchi kavu kwamba ataiteka Nairobi.

Leo kawa promoted na kuwa full General wa UPDF,kwanini baba yake hakemei, balozi yupo kimya.

Wanaharakati wa Uganda hasa Byesigye na Kagulanyi (Bob wine) na Wakenya wa mitandaoni ndio wamepiga mayowe.

Very interesting.
 
Kila jeshi lina intelligence ndani ya jeshi, nje na nje ya nchi. Kila embassy kuna mwambata wa jeshi na wanajeshi waluiobobea maswala ya uspy wakideal kuspy mambo ya kijeshi ya nchi husika tu na kuwasilisha ripoti kwa kiongozi wa doplomasia (ambassador) nchio hwanapofanyia kazi, then zinawasilishwa wizarani, halafu kupelekwa kwa head of military intelligence ambaye ana combine ripoti na kuipeleka kwa Director General of National Security huko zinawakilishwa na branch zote za intelligensia then riport moja inasomewa rais kila siku ( President's Daily Brief (PDB) )
Ninekusoma.
 
Back
Top Bottom