Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maan, that's uncalled for, ume hit below the belt! not good man.
nimekuuliza swali, je company ya bus kunyaland ikimpa abiria manual ticket, ticket provider atafungwa jela miezi 6 kwa kosa la kutoa manual ticket and not electronic?
 
Leta ikitumika kwenye mabasi wacha ujinga!

1664173409617.png

Pia sisi tuko online, yaani cashless, mbona turudi nyuma natulisha paa.., lipa fare na mpesa.,
 
nimekuuliza swali, je company ya bus kunyaland ikimpa abiria manual ticket, ticket provider atafungwa jela miezi 6 kwa kosa la kutoa manual ticket and not electronic?
hiyo ni unyanyasaji..., unafungwa uko na makosa gani? hiyo sio uhuru, upuzi kama huo sisi hatutambui, ni nchi huru, do what suits you, ile preference yako na convenience, bora ulipe ushuru.,
 
😂😂😂😂😂😂

Asante sana kwa jibu zuri
Sasa tayari tumejua Tanzania imewaacha kwenye technology na transportation big time.
 
Sasa huduma card na issue za bus booking wapi na wapi? Mbona unaforce sana kitu msichonacho? View attachment 2368411
Wewe unachukua habari na picha isiyo ambatana na story, huduma card haijawai kufanya kazi Kenya.., watu wali register kisha kimya kikafuata, kwa picha hiyo sio huduma card kilaza.., bana wacha uboya
 
Kawaeleze hayo Google
 
😂😂😂😂😂😂

Asante sana kwa jibu zuri
Sasa tayari tumejua Tanzania imewaacha kwenye technology na transportation big time.
We have them, sio kwa kulazimishwa eti lazima utumie kilaza.., nyie mnatoka porini sasa, zoea dunia ya leo, karibu sana.
 
Waliopo porini ni ninyi watu wanaachana na kalamu saivi kila kitu electronic

Uzuri wa electronic tickets unakata popote, cashless, no scammers, direct taxes, easy to monitor, easy to reclaim, easy to book, online
 
Do u understand what u are writing kweli?.., pia nchi kama Uganda walifika zamani, yaani wewe ni ignorant tu, ushabiki wa kishamba.
 
Sasa Uganda imekujaje? Mpaka Uganda wamewaacha kwenye technology kiasi hicho?
 
Sorry to disappoint you but stupid questions deserve stupid answers.
sawa bro, uko huru, usiogope,😂😂😂 am hardly disappointed by anything that can't influence or affect me in any way, jibambe and have a field day of your choice here, endelea kupiga mbwa koko with facts basi..,,
 
Back
Top Bottom