Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vitu tulifanya 2010 ndio mnafanya Leo?πŸ˜‚πŸ˜‚
Hawa watu huwa nasema ndio wanatoka porini sasa.., wanashangaa shangaa kishamba πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hii upuzi ya Kenyans don't own land sijui mulitoa wapi. In fact majority of Kenyans own land na wakona title deed. Sio kama bongo ambapo the government owns majority of the land na inaweza furusha anyone vile inataka ju wengi wenu hamna title. Dar 90% hawamiliki any title na ndio maana you have one of the biggest urban sprawl of unplanned settlements only rivaled by Kinsasha. This is also the reason why private developers find it so hard to invest in Dar because land ownership is not formal. Huko bongo lazima mungoje serikali iwalete investors.

Sheria zetu za ardhi are the most friendly to mwananchi. We are enjoying it off big time,
And if there is no demand where do our people live hasa ukizingatia we don’t have slums like you guys? (you guys own the biggest slums in the entire universe)
Having in mind that Tz is more urbanized
than any East African Country.
 
Leta mashine ya kulipia kama hiyo ipo connected na internet! hi si printed ticket with barcode! Ours ipo connected mpaka na serikari, LATRA n so on! Fool hamna kitu kama hicho Kunyaland kwenye buses!
Who told you za Kenya ndio hazijakuwa connected na KRA? Just accept that Tanzania is 20yrs behind Kenya.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio mnatoka porini naona, mnashangaa shangaa kishamba sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., watu wako online tokea zamani sana..,
Hizo tickets zipo monitored na serikali na TRA imeshachukua chake, yenu ni kama za supermarket tena ni kwa company 1 tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hizo tickets zipo monitored na serikali na TRA imeshachukua chake, yenu ni kama za supermarket tena ni kwa company 1 tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio mnaziona kilaza? mko down sana, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio mnaziona kilaza? mko down sana, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hizo zenu zilikua Tanzania na tumeshatoka huko, tulipo itawachukua forever kufika

Screenshot_20220926-084916.png
 
Huyo mpumbavu yupo humu kushindana na sio kujifunza, wapumbavu kama hao ndiyo waliharibu maana ya hii battle kutoka kujifunza miji yetu ilivyo mpaka kugeuka kuwa vita na ndiyo maana na sisi tunaipeleka battle kama wanavyotaka wao mana Wakenya sio wastaarabu kabisa.
Nyani haoni kundule.
 
Mkuu, Bagamoyo and Lamu ports hazina umuhimu wowote kwa Sasa, we miss Magufuli's way of reasoning.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Msiseme hivyo hii SGR inavyotanuka na opportunities zinaongezeka yaani kivutio cha makampuni kuja kuanzisha EPZs, sasa unafikiri katika bandari zote tulizo nazo kuna yenye nafasi kubwa kama Bagamoyo port? Mimi naelewa kwann serikali haitaki kuacha huu mradi! Inaangalia miaka 30 ijayo! Mchina na MuOmani wameondoka the US, France na Japan wamekuja!
 
Back
Top Bottom