NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,015
- 19,189
Nadhani wewe ndio hujawai fika uko. Tazama Abuja, Banana Island, Ikeja, Enugu, Calabar n.k. Nigeria Ina miji mingi kuliko East Africa na pia kuna vitu zipo huko Sisi hatuna kama commuter light train. Sisemi West Africa ni Bora kuliko East Africa bali nasema haya mazoea ya kupost the worst places of other countries mko nayo Sana bila kuelewa hizo nchi nazo ziko na sehemu zao bora za kujivunia. Mazoea haya yanamfanya kujiskia mko bora kuliko nchi zingine. Nimetazama Instagram page ya Jamii Forums kwa mfano nikaona mnashare negative news kuhusu Kenya huko sana wakati positive news hamweki. Mko na shida hapo.Take the best from those places and post them here.
"Hizo sehemu mbaya mnazoonyesha hata bongo zipo." chini ya post yangu nemeandika: "Pamoja na mapungufu mengi, East Africa tuko mbali sana".
Facts are, hujawahi fika West Africa. Take your time na visit hizo nchi, iwe Ghana, Nigeria ama yeyote ile. Utakuja hapa na kujivuania. Nimefika baadhi ya hizo pande, nazuijua. East Africa tuko mbali mno.