Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Paper tiger
I know your stomach is boiling but itabidi tu uzoee😂😂

20220525_100357.png
 
Kuwa na GDP kubwa na cement consumption vinahusiana vipi mzee .? [emoji1787] Heb tumia hata akili kidogo, tuko na miradi mikubwa kuliko mataifa yote yaungane pamoja, na miradi yetu yote inajengwa simultaneously , mbona ni vitu vinavyookana kwa macho ya kawaida tu.. Tandale tu Iko barabara za zege kibao karibu kila kona, mji wote wa DODOMA ni mpya 70% ya nyumba zote za DODOMA na facilities zengine za serekali zimejengwa kati ya 2017-2022 .. hao jamaa zetu so kila kitu Chao wanapost humu .?
Ndio maana nilikuuliza kenya hawajengi nchi yao?na mbona takwimu zao zionyeshe wanatumia cement kutuzidi? Wewe ndio utumie akili hapo
 
Ndio maana nilikuuliza kenya hawajengi nchi yao?na mbona takwimu zao zionyeshe wanatumia cement kutuzidi? Wewe ndio utumie akili hapo
Uzuri hii ni battle ya picha na video hawa jamaa huwa wanapost kila kitu Chao humu ndani, na kwa tunachofanya sisi kwasasa vs wanavyopost humu, it's very clear that sisi tunatumia cement zaidi kuwaliko.. data hata mimi naweza andika, haiwezi kuwa uhalisia, in Afrika seeing is believing
 
Pingana na serikali yenu

Screenshot_20220921-143735_1.jpg
Screenshot_20220921-195755_1.jpg
 
Kwani hizi Takwimu zinasema mmetuzidi kwenye cement consumption .? 🤣🤣
The statistics says that what Tanzania consumes in full year Kenya only consumes in six months😂😂😂👇

Screenshot_20220921-143735_1.jpg
Screenshot_20220921-195755_1.jpg
 
Back
Top Bottom