Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwanza city...
JamiiForums1845795152.jpg

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Ukiona watu wanajivunia apartment yaani nyumba za kupanga ujue fedha awana alafu pia ardhi awana hahahahhaaaaaa poor kenyani sheet hole... njoo uone TZ kila mtu ana kiwanja chake na anajenga.. sio kma nyie kunyani mtaishia kupanga mpaka mnaingia kuzumuni
 
Empty talks, Mombasa baba lao😂😂😂😂😂., kwenu ni aibu na uchungu mno, poleni sio makosa yetu, sisi nikuwaonyesha Mombasa kwa picha bila maneno mengi, zoea kwa vile na bado.
Ona aibu mzee, usilazimishe vitu visivyokiwepo 🤣🤣
 
Si hatuna ulimbukeni wa kuita CBD kila kaeneo kenye gorofa kadhaa
I forgot to remind you, Dar is slum iko na CBD moja pekee, kama unaelewa maana ya neno central business district, mengine ni shopping centres tu kama Eastleigh vile, na apartments za waarabu na wahindi.., ukubwa wa Dar ni uswazi, not town area, yani iko somewhat level moja na Mombasa., ila Mombasa haina uswazi kubwa iliotapakaa kote kama Dar, ni nafuu licha ya slums in secluded sections, with a bigger area in town coverage.,
 
Ukiona watu wanajivunia apartment yaani nyumba za kupanga ujue fedha awana alafu pia ardhi awana hahahahhaaaaaa poor kenyani sheet hole... njoo uone TZ kila mtu ana kiwanja chake na anajenga.. sio kma nyie kunyani mtaishia kupanga mpaka mnaingia kuzumuni
Usitete ufukara na ushamba mlio nayo, hii ni kujiliwaza, yaani inaitwa a "feel good" response. Mko hovyo bana, another Lagos in EAC.,
 
I forgot to remind you, Dar is slum iko na CBD moja pekee, kama unaelewa maana ya neno central business district, mengine ni shopping centres tu kama Eastleigh vile, na apartments za waarabu na wahindi.., ukubwa wa Dar ni uswazi, not town area, yani iko somewhat level moja na Mombasa., ila Mombasa haina uswazi kubwa iliotapakaa kote kama Dar, ni nafuu kicha ya slums in secluded sections, with a bigger area in town coverage.,
🤣🤣🤣 Hizi ndio hizo empty talks zenyewe.. wewe unanifundisha mimi DAR.?
 
ILA makenya uwa ni majinga sana uwa yanafikiria mat*k*ni sana NAIROBI, ilo ndio jiji la biashara, jiji la utalii, slum nairobi kila kitu nairobi poor plan.. ya nchi.. ukuje TZ sasa dar ni biashara, arusha utalii,mikutano apo, zanzibar ni bata, dodoma mji wa serikali hahahhaaaaaa nkiwaangalia mpaka huruma .. ndio maana mna agiza sana kutoka TZ na uchumi wenu unaanguka kisa ujinga.....
 
🤣🤣🤣 Hizi ndio hizo empty talks zenyewe.. wewe unanifundisha mimi DAR.?
Dar iko wazi, haihitaji maneno ya kuikweza, kazi ni kuweka picha angles zote na kufyata, inajieleza vizuri sana.., usitumie nguvu mingi, picha zilitosha, hauna la ziada, period, picha na clips ni tosha kuelezea dunia Dar ilivyo.
 
tua
Usitete ufukara na ushamba mlio nayo, hii ni kujiliwaza, yaani inaitwa a "feel good" response. Mko hovyo bana, another Lagos in EAC.,
tunawajua sana wakenya wengi ni wakimbizi tunawajua sana wakenya wengi ni wakimbizi hahahaaaa. na walala njaa mnakula adi maindi yenye sumu kuvu hahahahahaa poor.. domo tyu
 
Dar iko wazi, haihitaji maneno ya kuikweza, kazi ni kuweka picha angles zote na kufyata, inajieleza vizuri sana.., usitumie nguvu mingi, picha zilitosha, hauna la ziada, period, picha na clips ni tosha kuelezea dunia Dar ilivyo
Naona unataka kuharisha jikaze tyu
 
tua

tunawajua sana wakenya wengi ni wakimbizi tunawajua sana wakenya wengi ni wakimbizi hahahaaaa. na walala njaa mnakula adi maindi yenye sumu kuvu hahahahahaa poor.. domo tyu
Ukweli imekuumiza, pole utapoa, lala ulcers isikuuwe bure, sio makosa yetu, Mombasa iko ilivyo tu.🔥🔥🔥🔥.,
 
Dar iko wazi, haihitaji maneno ya kuikweza, kazi ni kuweka picha angles zote na kufyata, inajieleza vizuri sana.., usitumie nguvu mingi, picha zilitosha, hauna la ziada, period, picha na clips ni tosha kuelezea dunia Dar ilivyo.
Unanifundisha DAR.? 🤣🤣🤣 Yani wewe uijue DAR kuliko mimi.?
 
Uliweka picha Mombasa ikajibu kwa picha, unalia lia nini, kwa hili ni macho tu ndio inatakikana, kazi ulimaliza vizuri, hakuna anaye kufunza kuhusu Dar, usijichanganye😂😂😂😂,
🤣🤣🤣🤣 Wewe wacha kujifurahisha mzee
 
Back
Top Bottom