Kati ya hizo dual carriageway ni KM ngapi? Nairobi Mombasa road ni dual kutoka Kyumvi hadi CBD - 41km. Thika road ni dual kutoka Kenol hadi CBD - 60KM (Mwisho wa 2023 itakuwa 150km because upanuzi unaendelea kutoka Kenol hadi Marua). Waiyaki way ni dual from Rironi hadi CBD 35km. Ngong road ni dual from CBD to Karen 13km. Langata road ni dual from CBD to Galleria mall 8km. Ukiweka pamoja barabara za kuingia Nairobi pekee ni 157km dual. By the end of next year zitakuwa 247km. Hapo hata zijaongeza ring roads za ndani amabzo in total ni kama 100km. Hujaweka barabara zingine za ndani ndogo ndogo kama Jogoo road, Outering road, Eastleigh first avenue n.k.