Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kisumu is better than all the cities in Tanzania outside Dar.

Screenshot_20220917-005008_1.jpg
Screenshot_20220917-005029_1.jpg
Screenshot_20220917-005403_1.jpg
Screenshot_20220917-004658_1.jpg
 
Lies lies
Mimi sio mwehu, imekuuma sana.., enjoy, nilijua Mombasa hamuijui, many places had not been covered, now it is being unveiled pole pole.., Dar imebakia tu na ka CBD na BRT.., nothing on Mombasa kilaza..,
Places outside CBD.., vast!.,



 
Wakuu,

Wakati ndugu zetu wa Kenya wakimaliza uchaguzi kwa amani na kutoa funzo la hali ya juu sana kwa kuendesha uchaguzi kitaalamu sana huku kila mtu akijipakulia matokeo na kujumlisha bila shida hali ni hivyo hivyo kwenye miundombinu yao.

Kwakweli Nairobi iko mbali sana. Flyovers zao ni za kibabe sana! Huwezi fananisha na kale kadaraja ka kijazi tunakojitapa nako kila siku, Kule Thika superhighway ni balaa, miundombinu ya Nairobi ni kiwango cha Ulaya au China kabisa.

Hapa Dar zaidi ya vidaraja hakuna superhighway yoyote. Hivi tunakwama wapi?
Huo ndiyo ukweli ila tu watanzania tunapenda kujisifia ujinga
IMG_20220916_195437.jpg
 
typical quality of kenyan roads in the middle of nowhere, anywhere..
some international quarters says, kenya is slowly catching up with south africa, when it comes to matters road infrastructure...
here for example, somewhere between kericho and kisumu👇🏽View attachment 2359070View attachment 2359127View attachment 2359129View attachment 2359077View attachment 2359081View attachment 2359130View attachment 2359120View attachment 2359084View attachment 2359085View attachment 2359089View attachment 2359094View attachment 2359095
It is like this from Isbania, through Kisumu-Kakamega-Kitale all the way to Turkana/South Sudan border..., Uhuru alikamilisha kazi ya Kibaki, but Riggy G vilified him due to personal biff, Uhuru worked.
 
Usiseme tunakwama wapi. Sema unakwama wapi. Wewe utakua umeishia darasa la saba na pia ulikua huzingatii masomo. Yaani kwa kiswahili kilicho nyooka wewe ni Mbumbumbu.

katika ujenzi wa nchi kuna kitu kinaitwa: priorities.



Hakuna mtu mwenye akili hata asiye na akili anaweza chagua kiatu dhidi ya chakula. Kinachoendelea Kenya ni ufisadi wa kutisha kwenye hiyo miradi wajinga wanashangilia.

Wala rushwa Kenya wamejikita kwenye miradi isiyo na tija kwakua wana chao kikubwa kwenye hizo projects. Kiuhalisia, priority ingekua ni food security.

Sisi Tanzania ingawa tunakua na viongozi wa hivyo kama samia lakini still, tunafanya mambo ya msingi kwanza. Hivyo vi flyover ni $100M project. Tukimaliza mammbo ya msingi, vitasimama kama uyoga.
Watanzania kazi kubwa tulio nayo ni kujitukuza tu na sio uharisia kwa Nairobi na dar ni mbingu na Ardhi
 
Mke wa Ruto ageuza Ikulu madhabahu binafsi ya Dini..😁😁😁😁

Karibu kinuke 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220917-091018.png
    Screenshot_20220917-091018.png
    244.1 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220917-090918.png
    Screenshot_20220917-090918.png
    263.4 KB · Views: 12
It is like this from Isbania, through Kisumu-Kakamega-Kitale all the way to Turkana/South Sudan border..., Uhuru alikamilisha kazi ya Kibaki, but Riggy G vilified him due to personal biff, Uhuru worked.
for your information you tanganyikans,.. Isibania in kenya means Sirare in tz
 
Meanwhile DRC imegoma kwenda Mombasa 👇

I mean ile tu kwamba hata kuwa na wazo la nchi ya Kongo kutaka kutumia Bandari ya Mombasa ilipaswa ikwambie kitu, yani walikuwa tayari kuvuka nchi nzima ya Tanzania na kwenda Mombasa, hauoni kama kuna tatizo kubwa kwa upande wetu? Rwanda wanatumia Bandari ya Mombasa ingawaje hawana mpaka na Kenya hauoni tatizo hapo? Kwa hali ya kawaida na watu wenye hata tu average IQ hii discussion ya Kongo kutaka kutumia bandari ya Mombasa badala ya Dar haikupaswa kuwepo kabisa, lkn bado mnaona ni jambo la kujivunia na unaposti hapa kusifia kuna kipi cha kujivunia hapo? Nchi ambazo zimetuzunguka bado tunashare mizigo na Bandari ya Mombasa ambapo hawana mpaka mmoja na nchi ya Kenya ni jambo la kustaajabisha sana kwa upande wetu, lkn mmekaa kusifia tu ujinga wakati kuna incompetency kila mahali, sasa hivi hata watoto wadogo teenegers panya road wanasimamisha nchi hata kulea watoto tumeshindwa lkn bado mnapiga makofi tu na kuita mama huku hata kulea watoto wetu wenyewe kama nchi tumeshindwa, nchi inakuwa held hostage na teenagers watoto wenye umri wa kuwa shuleni, inasikitisha sana, leo hii wananchi wanachoma moto mtoto wa 14 panya road, hii ni nchi kweli ?
 
typical quality of kenyan roads in the middle of nowhere, anywhere, everywhere..
some international quarters says, kenya is slowly catching up with south africa, when it comes to matters road infrastructure...
here for example, somewhere between kericho and kisumuView attachment 2359070View attachment 2359127View attachment 2359129View attachment 2359077View attachment 2359081View attachment 2359130View attachment 2359120View attachment 2359084View attachment 2359085View attachment 2359089View attachment 2359094View attachment 2359095
Izo barabara unazoonyesha ni kama za Tz tu sasa tuonyeshe barabara inazofanana na za SA
 
Back
Top Bottom