Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Outering Rd is loading.............
Screenshot_20220917-133055_Google.jpg
 
Estim wanaweza hata kujenga barabara za mwendokasi wakiaminiwa kuliko hawa sinohydro . Halafu itasaidia kuongeza mzunguko wa fedha maana kiasi kikubwa kitabaki hapa hapa Tanzania

hizo hela (za kujenga BRT) zina wenyewe (nchi), na sehem kubwa zitaenda kwa wenyewe (tender kupewa kwa contractors wa hizo nchi).. sio suala la serikali kuamua tu.. nadhan umeelewa
 
hizo hela (za kujenga BRT) zina wenyewe (nchi), na sehem kubwa zitaenda kwa wenyewe (tender kupewa kwa contractors wa hizo nchi).. sio suala la serikali kuamua tu.. nadhan umeelewa
fedha za WorldBank na AfDB ni kandarasi iliyokidhi zigezo kinachotakiwa ni Estim kuwa na portfolio ya kuonyesha miradi kama hiyo waliyotekeleza! As things stand wana chance ya kuweza kushinda tender wanahitaji good lobbying!
 
Tukipata kampuni za kibongo kama 5 hvi kama hii izi kero za barabara zitaishaa
Mzee hata moja inaweza fanya mageuzi makubwa ndo maana Mbarawa anahimiza kila siku kampuni za ujenzi ziungane ili ziweze ku-create one giant company na kushinda tender za $300 mln and above! Ujue kila Estim construction inavyoshinda tender ndo inapanuka pia! naiona ikija kuwa na revenue ya over $1 bln in the near future! Ujue ipo nchi nyingi sasa!
 
Kule petrol Bei juu,huku nauli na hapa umeme juu 😆😆😆😆..

Pa tamu hapo Ma hustlers hawana cha kufanya lazima Kunyaland ifuate masharti ya WB/IMF👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220917-174013.png
    Screenshot_20220917-174013.png
    46.3 KB · Views: 20
  • Screenshot_20220917-090249.png
    Screenshot_20220917-090249.png
    194.4 KB · Views: 24
Back
Top Bottom