Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kazi ipo..
M7 naamin yuko kidete.. Sa100 sasa


Hawa wazungu ni wajinga sana.. somen hii joint motion yao.
Samia na wazir wenu Makamba (aliepinga ujenzi wa Nyerere HPP) sidhan kama wataenda kinyume na matakwa ya hawa wazungu

Tulishaambiwa sisi sio kisiwa
 
😆😆😆😆 Wakati wazungu wanaota ndoto za EACOP kwa Kushirikiana na Kunyaland wanasahau kwamba kinaenda Kunuka Kunyaland 👇
 

Attachments

  • IMG_20220915_163111.jpg
    IMG_20220915_163111.jpg
    88.1 KB · Views: 11
Hapo totalenergies wakibanwa sana, wauze (shares zao za) huu mradi kwa wachina
Wachina peke yao wanaweza kubadili route! Ukitaka kujua kwann pipeline imepita Tanzania unatakiwa kujua strategic interests za Total across the region in view of expansion! Tangu mwanzo CNOOC imekuwa neutral kwenye where pipeline should pass!
 
Hivi ni Kwanini Dar iliacha kujenga majengo ya aina hii? We rarely see such beautiful structures these days because our architects are focusing on ugly, contemporary box structures.
945AE238-F9EB-4215-BDE6-B277C60DFB97.jpeg


The Dar es Salaam Darkhana Jamakthana was built in the 1930s, and it boasts Neoclassical Greek and Roman design as well as Islamic architecture. I prefer traditional building designs because they create a strong sense of local identity with an emphasis on beauty and aesthetics.

FF13AE35-4F10-4365-AFA9-1DDF73D56C60.jpeg

Notice the contrast between the traditional structure and the rest of the UGLY contemporary buildings.

Naona Dodoma wanajenga capital ambayo itakuwa boring sana. Sio tofauti na Dar wala Mwanza wala Arusha! And BLEAK architecture
kwenye majengo ya serikali ni aibu. Yaani ni state house (Ikulu) pekee ndio wamefanya vizuri ku-preserve national identity. Lakini majengo mengine ni ya kawaida sana — basically boxes made of concrete and glass!
 
AUWASA Water Project,Arusha 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220916-071259.png
    Screenshot_20220916-071259.png
    183.5 KB · Views: 12
  • 20220916_071312.jpg
    20220916_071312.jpg
    82.4 KB · Views: 11
Ofisi za Mamlaya ya Maji Arusha 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220916-071518.png
    Screenshot_20220916-071518.png
    91.6 KB · Views: 12
  • 20220916_071215.jpg
    20220916_071215.jpg
    332.3 KB · Views: 12
  • 20220916_071219.jpg
    20220916_071219.jpg
    306.7 KB · Views: 14
Dodoma,The Capital City 👇
 

Attachments

  • 20220915_224609.jpg
    20220915_224609.jpg
    180 KB · Views: 14
  • 20220915_224604.jpg
    20220915_224604.jpg
    333.4 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220915-224402.png
    Screenshot_20220915-224402.png
    86.8 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220915-224349.png
    Screenshot_20220915-224349.png
    86.2 KB · Views: 8
The best 007 ngoja interview ya hawa watanzania, najua radio zenu na TV stations zita wahoji, kisha make sure to post here, they traversed Nairobi.., pia na wao wata wahadithia na kuonyesha tofauti kati ya Nai na Dar is slum kama vile baba levo na mzungu..,
View attachment 2357952

Ushuhuda wa Baba Levo..,


Ushuhuda wa mzungu aliye anzia matembezi Tanzania na Kampala..,

tayari washafika BBC leo asubuhi na wamesema kufika kenya ni a dream come true na pia hadhi yao sasa imeongezeka
 
Back
Top Bottom