Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Can you please humbly mention two or three countries which now are called advanced democratic countries which got where they are now through violence, killings and all sort of uncivilized behaviors like Kenya?, mention only three countries in the entire world

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
current or for back in the day?

1.political violence in America-Trump Related
2.Yellow Vest Movement in France
3.Balarus etc etc

Wakuu,

Wakati ndugu zetu wa Kenya wakimaliza uchaguzi kwa amani na kutoa funzo la hali ya juu sana kwa kuendesha uchaguzi kitaalamu sana huku kila mtu akijipakulia matokeo na kujumlisha bila shida hali ni hivyo hivyo kwenye miundombinu yao.

Kwakweli Nairobi iko mbali sana. Flyovers zao ni za kibabe sana! Huwezi fananisha na kale kadaraja ka kijazi tunakojitapa nako kila siku, Kule Thika superhighway ni balaa, miundombinu ya Nairobi ni kiwango cha Ulaya au China kabisa.

Hapa Dar zaidi ya vidaraja hakuna superhighway yoyote. Hivi tunakwama wapi?
 
Huwezi fananisha na kale kadaraja ka kijazi tunakojitapa nako kila siku
drakelaugh.png
 
Can you please humbly mention two or three countries which now are called advanced democratic countries which got where they are now through violence, killings and all sort of uncivilized behaviors like Kenya?, mention only three countries in the entire world

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
USA.., kama hauna taarifa.
 
Mtu amesoma chato uko msingi mpaka sekondari,kidato Cha tano na sita amesomea Wilaya ya Ngudu,chuo kikuu udsm alafu unamkutan ndo afisa mipango miji.Bongo bahati mbaya.
Wacha kuongea upumbavu wewe jamaa, Mwanafunzi kutoka chato ndie muuni alietekeleza Madaraja, flyovers, international airports, mahospitali makubwa, the longest SGR in the entire continent, JNHP, Miradi mikubwa mingi pamoja na DODOMA new government City... Na barabara karibu zote mpya Tz zilitekelezwa chini ya usmamizi, haya hao wasomi wa kutoka Dar na Kumalizia elimu zao majuu wanalifanyia nini hili taifa pamoja na wewe mpuuzi mwenzao..?
 
Wakuu,

Wakati ndugu zetu wa Kenya wakimaliza uchaguzi kwa amani na kutoa funzo la hali ya juu sana kwa kuendesha uchaguzi kitaalamu sana huku kila mtu akijipakulia matokeo na kujumlisha bila shida hali ni hivyo hivyo kwenye miundombinu yao.

Kwakweli Nairobi iko mbali sana. Flyovers zao ni za kibabe sana! Huwezi fananisha na kale kadaraja ka kijazi tunakojitapa nako kila siku, Kule Thika superhighway ni balaa, miundombinu ya Nairobi ni kiwango cha Ulaya au China kabisa.

Hapa Dar zaidi ya vidaraja hakuna superhighway yoyote. Hivi tunakwama wapi?

Usiseme tunakwama wapi. Sema unakwama wapi. Wewe utakua umeishia darasa la saba na pia ulikua huzingatii masomo. Yaani kwa kiswahili kilicho nyooka wewe ni Mbumbumbu.

katika ujenzi wa nchi kuna kitu kinaitwa: priorities.

Millions of Kenyans go hungry every day.

The recently released 2019 Global Hunger Index shows that millions of Kenyans are going hungry and that the country suffers from serious levels of hunger.

“Food insecurity” is when people lack enough money, or resources, to ensure they can eat.

Hakuna mtu mwenye akili hata asiye na akili anaweza chagua kiatu dhidi ya chakula. Kinachoendelea Kenya ni ufisadi wa kutisha kwenye hiyo miradi wajinga wanashangilia.

Wala rushwa Kenya wamejikita kwenye miradi isiyo na tija kwakua wana chao kikubwa kwenye hizo projects. Kiuhalisia, priority ingekua ni food security.

Sisi Tanzania ingawa tunakua na viongozi wa hivyo kama samia lakini still, tunafanya mambo ya msingi kwanza. Hivyo vi flyover ni $100M project. Tukimaliza mammbo ya msingi, vitasimama kama uyoga.
 
Back
Top Bottom