Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dah kazi ipo

Fb9tVJAXoAE7HF2.jpeg
 
😀😀 nimecheka sana.. huyu ndo makamu rais wa kenya


One thing I noticed is actually Twitter ya Tanzania always has nothing the only fun thing there is maybe football the rest is a dead space so most tanzanians are always in Kenyan Twitter
 
Nitapost kumi kutoka Lodwar. Wewe ni muoga sana.
Hawa watu si eti ni waoga mara mingi hawanaga jibu, utaona wakitafuta kuponda what we post coz they have nothing to respond with, wako down bana..,
 

ULISHA ONA MWANAMUZIKI YOYOTE WA KENYA ANAITWA TANZANIA KWENYE SHEREHE ZA UAPISHO..... ADI AKILI ZENU TUMESHIKA NYIE AMNA LOLOTE....,,,,

Na this kind of thinking... Wewe ndo tegemeo kwenyu ama Kuna wengine?
 
Hio Sio worse of Iringa. Hizo ndio suburbs za Iringa inje ya Town. Unataka kulinganisha hio Upuzi na hii Kisumu[emoji1541]. The fact is that Kisumu inameza Iringa na Mwanza mara tanoView attachment 2356184
Kisumu yenyewe ni kama mtaa mmoja Iringa, haina ukubwa wowote na finyu na bado ni duni

Ni kama Nairobi tu bila Thika na counties nyingine za pembezoni haiwezi kitu
 
One thing I noticed is actually Twitter ya Tanzania always has nothing the only fun thing there is maybe football the rest is a dead space so most tanzanians are always in Kenyan Twitter
Most Tanzanians?

Na huku utasemaje? Penye videos za millions of viewers each day? Twitter ukikuta video ya Tanzania yenye 10k ni bahati ya mtende, watanzania wengi wapo instagram mzee

Screenshot_20220914-085322.png
 


Huyu Mama anapenda kutumia hizi ndege na kuvuruga ratiba za ATCL wakati ndege ya rais ipo, kwnn huyu mama hana uchungu na kodi za wananchi? Pale airport unakuta kuna ma delay ya kipumbavu pumbavu kisa tu ndege imechelewa kuwasili lkn pia equipments ni chache alafu hapo hapo mtu anachukua ndege anaenda nayo Kenya, ngoja niangalie kwenye flight radar nione leo TC 200 imeenda equipment gn alafu nirudi.

Wakati Magufuli anatumia ndege hizi kwa style hiyo hiyo tuliambiwa ni yeye ndio kazinunua kwanini asitumie, leo Mama anapigwa mawe…..!!
 
Wakati Magufuli anatumia ndege hizi kwa style hiyo hiyo tuliambiwa ni yeye ndio kazinunua kwanini asitumie, leo Mama anapigwa mawe…..!!
Usitetee mambo ya kipuuzi! Atumie ndege yake ya Urais! Sasa kama JPM alifanya madudu naye afanye?
 
Back
Top Bottom