Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

One thing I noticed is actually Twitter ya Tanzania always has nothing the only fun thing there is maybe football the rest is a dead space so most tanzanians are always in Kenyan Twitter
Kwanini Tanzania ina trend Kenya kila siku?

Screenshot_20220914-090635.png
 
Tatu City inaendelea kuonyesha Dodoma middle finger. How many industries are in Dodoma?

 
Usitetee mambo ya kipuuzi! Atumie ndege yake ya Urais! Sasa kama JPM alifanya madudu naye afanye?
Kubadili matumizi ya ndege hizi si ufahari bali ni gharama za uendeshaji tu hizi ndege mpya ni nafuu zaidi ukifananisha na za zamani kupanga ni kuchagua kikubwa zisiathiri kbs operation za ATCL
 
Kubadili matumizi ya ndege hizi si ufahari bali ni gharama za uendeshaji tu hizi ndege mpya ni nafuu zaidi ukifananisha na za zamani kupanga ni kuchagua kikubwa zisiathiri kbs operation za ATCL
Wacha upumbavu unajua unaongea na watu wenye ufahamu! Unataka kusema gulf stream G550 private business jet ile fuel consumption ni kubwa kuliko ile passenger jet A220-300?
 
Ruto ametokana naye wapi huyu mtu,kwanza ni mtata niliona akimdiss Kenyatta, bado ana chuki na anaweza kulipiza kisasi kwa maadui zake wa kisiasa.
Hizo za kumdiss Kenyatta ni drama tu yule ni mkikuyu mwenzake, mimi nashangaa kwanini lazima makabila haya mawili tu ndio yashike nyadhifa za juu serekalini mkikuyu au mkalenjin akizidi kidogo mluo, hivi hakuna makabila mengine hata makabila madogo madogo? Kama Tanzania viongozi wengi almost wote wa kubwa wametokana na vikabila vidogo vidogo mno.
 
Back
Top Bottom