chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Kwahiyo rais mteule kunywa chai ndio kunafanya democracy yenu iwe juu? HahahaHana haraka si kama kitambo kibaki ilibidi aapishwe usiku hehe we really grown as a democracy so now no five years cycle of economic destruction nothing preventing us now from being great in Africa
Wa humu wanamiliki tu hayo maneno wanayotype kwenye keyboard zao 😂Hawa wa humu hawana impacts yoyote ndani ya Kenya.
Niko sure deal maker ameplay pakubwa fainensho kwenye kampeni za mkale.
Wa humu wanamiliki tu hayo maneno wanayotype kwenye keyboard zao [emoji23]
Hata barabara za miji tu Tanzania na kunyaland hazifui dafu in matching, barabara za miji masikini Tanzania mfano kama Singida zina kilometers nyingi kuliko mji wenu MombasaTanzania is almost 7 times larger than England. So we should say Tanzania has more roads than England because it is way larger? DRC is two and a half times larger than Tanzania, we should also say DRC has more roads than Tanzania?
Sasa unataka kujilinganisha na England ninyi ambao hata maji ikulu ni mzozo?Naona umeelewa kwanini logic yako ni ya ovyo kama ya mtu asiye na masomo.
Niliwaambia walete barabara yenye urefu wa kilometers 100 tu wakaingia mitiniIla hawa wakenya huwa nashindwa kuwaelewa 🤣🤣🤣 tukizungumzia kuhusu apartments/real estate industry wanapost video mia mia humu ndani tukizungumzia barabara wanaleta data while sisi tunazipost hizo barabara 🤣🤣🤣 Teargas NairobiWalker watz wanataka kuona barabara zenu sio kila siku mnapost express way tu .. barabara nyingi mnazozungumzia ziko wapi.?
89% ya hii documentary inarecord meli mv Liemba ziwa TanganyikaYou are an idiot.
Nilipost barabara zenye zaidi ya kilometers 7000 zilizojengwa kipindi cha Magufuli wakati wao wakipost kilometers 500 tu uhuru alizozizindua, barabara zao ni fake wenyewe wanajua.Bhana we. chongchung alipost barabara karibu zote Tz ni juzi kati tu hapa, hadi leo hatujapata majibu kutoka kenya.. majibu yako wapi .? 🤣🤣🤣
Hamkuwahi kupost barabara hata moja iliowahi kuwa launched na uhuru physically zaidi ya fake podium data
Mombasa tu haina long dual carriageway kama ya MwanzaHata huna haya Tanzania Ina dual carriage gani?
Uncomfortable kivipi wakati huku anakosolewa kona zote! Watu tunajimwaga mwaga tu kuongea shombo....Samia looked uncomfortable when they started saying you can criticizing government however you want hehe
Kwanini asijiuzulu tu! Kishatututukana, katuambia tuhamie Burundi kama hatuzitaki, juzi akasema eti wananchi ndo wamemtuma.
Mention one pleaseYour leaders are coming for better healthcare in Kenya[emoji23][emoji23][emoji1787]
Lodwar, a town in the poorest county in Kenya, has better roads than these.Hata barabara za miji tu Tanzania na kunyaland hazifui dafu in matching, barabara za miji masikini Tanzania mfano kama Singida zina kilometers nyingi kuliko mji wenu Mombasa
But doesn't like to invest in KenyaRuto's swearing in has attracted so many prominent people. Kenya is indeed great
Kwa hapo ameshafeli.Uteuzi kaka hakuna lingine analolipigania.
Unazungumzia ile high way inayokatiza pale kijijini .? 🤣🤣🤣Lodwar, a town in the poorest county in Kenya, has better roads than these.
[emoji16]Unazungumzia ile high way inayokatiza pale kijijini .? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Your leaders are coming for better healthcare in Kenya[emoji23][emoji23][emoji1787]