Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tuusan hadi wewe pia hesabu inakuchanganya?😂

What % is 22,600km of 160,800km?
Kama uko na bundle ama data..angalia mitaa za dar...yaani nikama mombasa...aleast mombasa sikuizi wanaanza kuwacha haya majumba za uswahili wanajenga za gorofa..

Mimi sio mwendawazimu eti nikwambie Tz yote iko na tarmac roads zipo barabara za kuunganisha districts mingi tu hazina lami.. ila there's no a single road which connects region to region enye haina lami.... kama unaweza leta hapa.. sahihi naweza toka Mtwara straight to Musoma na nisikanyage vumbi popote.. u can google the distance and see how far is Mtwara to Musoma
Mbona tukikuambia Kenya kuna barabara unakana yet unatuambia Tanzania kuna barabara na unataka tukubali?
 
Why are you putting words in mouth? Where did I claim that there are regions which are not connected to paved roads in Tz? As far as I can remember, wewe ndio ulisema ati there are some counties in Kenya with no paved roads and when asked to mention them unajifanya kichaa.
 
Huju jamaa anataka kutufanyisha kazi ya ujinga ilhali yeye hawezi fanya hiyo kazi. Anadhani sisi ni Wajinga. 🤣 🤣
 
Mbona tukikuambia Kenya kuna barabara unakana yet unatuambia Tanzania kuna barabara na unataka tukubali?
Sisi huwa tunazipost barabara zetu humu kila leo, nyie mnapost namba ziko wapi.? Duty niliyokupa umeshindwa.? Sawa kama hamuwez post bas uzitaje hata majina na kipindi zilivyojengwa, pia ni ngumu.? 🤣🤣
 
Kwa hivo wewe jibu lako ni 'sisi huwa tunapost barabara humu' ilhali unataka sisi tukupostie barabara zote za lami Kenya wakati huu huu? 🤣 🤣

Sawa, wacha nikujibu kiwewe. Sisi huwa tunapost barabara zetu humu kila leo. Umetosheka? 🤣
 
Tunataka kuziona barabara mzee 🤣🤣🤣
13459236_1342632847fornairobi202011272jpeg1a54512cb5042546fbb9b5595ad05d56_jpeg_jpeg37c7bf56d...jpeg
13459235_1342632712582377msardnamangardinterchangejpegjpeg0a13eaf0ac01d7efdcbc4bfa1bb6a94cjpe...jpeg
13901879_46431001685696206faabo_jpege1b016e24d04a6239a3210e35cd592ba.jpeg
 
Why are you putting words in mouth? Where did I claim that there are regions which are not connected to paved roads in Tz? As far as I can remember, wewe ndio ulisema ati there are some counties in Kenya with no paved roads and when asked to mention them unajifanya kichaa.
Hapa vipi .? 👇"Kenya: Over 90% of Roads Are Not Tarmacked, Report Shows - allAfrica.com" https://allafrica.com/stories/201812120066.html.
 
Umesema mwenyewe hutaki data, kisha wewe mwenyewe umerudi kwa hizo hizo data - tena kwa website uchwara. Yani leo umekabwa huna pa kutokea. 🤣 🤣
Sasa mara nyingi ukiwa mpinga data unatakiwa ulete uhalisia kwa ground.. kwahyo kama unakataa data at least leta uhalisia ulivyo ground ili ujitetee.. taja majina ya barabara zenu mlizojenga 10k km with in 8 years 🤣🤣🤣🤣 Mbona simple tu
 
Kwa hivo wewe jibu lako ni 'sisi huwa tunapost barabara humu' ilhali ubataka sisi tukupostie barabara zote za lami Kenya wakati huu huu?

Sawa, wacha nikujibu kiwewe. Sisi huwa tunapost barabara zetu humu kila leo. Umetosheka?
Ni kama vile wao hupost malandrover ya tour hapa alafu wanaclaim wametupiga sana kwa tourism ila data zikitoka tunawapiga kama kawaida . Cheza na mbongo wewe
 
Back
Top Bottom