Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We will surely miss President Uhuru Kenyatta.

20220912_190741.jpg

20220912_190751.jpg

20220912_190746.jpg

20220912_190857.jpg
 
What's Mbweni? It cannot even reach 1% of this

Iyo kiambu sikujua kama ni kubwa hivyo...well stractured, panakimbiza mbweni by far...ila sasa sio fair kufananisha kiambu na mbweni kwasababu mbweni sio town kama hii...iyo kiambu ..kwann mbweni usiipe mtaa uko Nairobi mana kiambu wala sio Nairobi
 
Kiambu town Iko within Nairobi Metropolitan. Can you show me any development in Tanzania than can come close to this EDEN VILLAGE ESTATE

Hakika inashangaza sana.

Haswa Kwa mtu kama huyo ambae alishaingia cabinet meetings na bado anapost habari kama hiyo.

Hii inaonesha ni jinsi gani hawa Watu they are not attentive to details ndio maana kila mtu ni mlalamikaji nchi hii.
Amechoka kuwa back bencher sasa hii ni ntoke vipi nipate huruma ya mama!
 
Back
Top Bottom