Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wale jamaa wa CDM walikuwa hawamkubali RAO kwa sababu walikuwa marafiki na JPM wakawa wanampamba WSR! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii imekaaje!


An idiot posting opinion of a fellow idiot. Ebu angalia comments za wakenya urudi tujadiliane
 
Ulianza na kusema Ruto alisema Kenya ni bankrupt, nikakukaumbia unionyeshe pahali alisema hivyo. Umeshindwa sasa umeanza assumptions. Wewe tulia ungoje tutangaze bankruptcy kama hio ndio unataka kuskia. 😂😂😂
Msamehe si makosa yake
 
Kesho pics zikom plz
Screenshot_20220912-183554.png
 
Back
Top Bottom