Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Hapo kwanza nicheke 🤣🤣🤣 u unaweza leta Dar ya 1993 .?Nyumba zenyewe zilijengwa 1993😂
Hapo kwanza nicheke 🤣🤣🤣 u unaweza leta Dar ya 1993 .?Nyumba zenyewe zilijengwa 1993😂
Tanzanians are like goats, making a lot of noise with zero impact.Wakenya mtauwa watani kwa facts, mnapenda ukweli sana😂😂😂😂 punguzeni ku post ukweli Teargas nairobae mwathadan dopchinski , leo ni wikendi na queen amekufa dunia ina omboleza kueni na huruma jameni, kwanza Teargas unapiga bila huruma😂😂😂😂😂😂, jibu mwafaka hamtapata kutoka south hivi karibuni, ni vijimaneno na propaganda tu, wachana nao wapumue 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
nimeenda zangu mimi, must enjoy my weekend!
Tuonyeshe nyumba zenye mmejenga recently acha kudivert attention 😂😂Hapo kwanza nicheke 🤣🤣🤣 u unaweza leta Dar ya 1993 .?
Sitaki maneno maneno, nimekupiga na mji mzima mbweni hujanijibu chochote .. leta majibu kwanza .. 🤣🤣, wacha kutafuta excuse we kichaa.. otherwise ulete hizo nyumba 16k zenye mlijenga last yearThen show us the Aerial view of recently completed projects kama huezipost nyumba moja moja. What I mean by recently completed ni less than a year since it was completed. Usituonyeshe nyumba za 2017 just because they look new.
👇 Mbweni . 👇. Kuna jibu huko kwenu .? 🤣🤣🤣Tuonyeshe nyumba zenye mmejenga recently acha kudivert attention 😂😂
Hakuna kitu umepost hata moja, hile video ni za nyumba zilijengwa kitambo sana. Ama do you want me to define the term " recently completed" to you?Sitaki maneno maneno, nimekupiga na mji mzima mbweni hujanijibu chochote .. leta majibu kwanza .. 🤣🤣, wacha kutafuta excuse we kichaa.. otherwise ulete hizo nyumba 16k zenye mlijenga last year
🤣🤣🤣🤣🤣 Nyumba zilijengwa kitambo sana with modern styles .? 🤣🤣🤣, Wacha excuses bamzee, huna majibu kaa kimyaHakuna kitu umepost hata moja, hile video ni za nyumba zilijengwa kitambo sana. Ama do you want me to define the term " recently completed" to you?
👇 Mbweni . 👇. Kuna jibu huko kwenu .? 🤣🤣🤣
The styles unaona hapo zilianza kutumika 2007. So sijui they are modern in what way?🤣🤣🤣🤣🤣 Nyumba zilijengwa kitambo sana with modern styles .? 🤣🤣🤣, Wacha excuses bamzee, huna majibu kaa kimya
🤣🤣🤣🤣 Sio 1993 tena.? Zimepanda mwaka.? Ni 2007 saivi.?The styles unaona hapo zilianza kutumika 2007. So sijui they are modern in what way?
Nyumba mingi ni za 1993, the ones you claiming to be modern ni za 2007. What's difficult to understand there?🤣🤣🤣🤣 Sio 1993 tena.? Zimepanda mwaka.? Ni 2007 saivi.?
Watakwambia Kenyan English,,,


🤣🤣🤣🤣🤣 Dah ni kichapo tuNyumba mingi ni za 1993, the ones you claiming to be modern ni za 2007. What's difficult to understand there?
Enaki.
Yani hata Kiambu imeshinda the best of Dar😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Dah ni kichapo tu
Fikieni huku kwanzaMbona unapost nyumba tatu porini .? 🤣🤣🤣
Yani hata Kiambu imeshinda the best of Dar😂🤣🤣