We can't import your low quality flour. That's equivalent to chicken feed in Kenya.Tukianza kuwauzia unga badala ya mahindi nashahuri kwenye mifuko ya unga waandike "Kwa hisani ya wakulima wa Tanzania"
Ati global slum capital ina 80% of the land formal!?90% of buildings in Dar is a slum are under 4 meters. Ndio maana hua munajikaza sana kutuonyesha zile ghorofa zenu za kuhesabika surrounding CBD. Alafu 80% of your residential units have no title. Kumbe wengi wenu huko uswazi ni masquatter tu. Munaishi kwa huruma ya serikali. 🤣🤣🤣
View attachment 2351612
Soma vizuri we mzee it's 90%. 80% of Dar ndio iko covered by slums. Masquatter wamejaza jiji. 🤣🤣🤣Ati global slum capital ina 80% of the land formal!?
Ni global mud huts and shacks capitalAti global slum capital ina 80% of the land formal!?
We can't import your low quality flour. That's equivalent to chicken feed in Kenya.
Umeandika nini sasa? If you want to be funny at least try and make sense.Wewe hapo Kenya hauna usemi wowote kiufupi ni kondoo grade ya chini kabisa yaani mawazo yako hayawezi skizwa hata na "kanjo"
Pale lugha ya malkia inapokataa!Githeri media kizungu kizungumkuti 😂😂😂
View attachment 2351714
angalia povu la kunyan hapoGitheri media kizungu kizungumkuti 😂😂😂
View attachment 2351714
Tunaviongozi chawa kweli kweli hapa Afrika nchi nyingi zinazotoa izo salamu za rambi rambi ni nchi za kiafrikaFacts
Sema sisi Watz ni watu wenye moyo wa kipuuzi sn, kwnn wajinga kama hawa tunawauzia mahindi badala ya unga? Mbn cc tunajifanya tuna huruma sana mwishowe tunachelewesha maendeleo ya nchi kwa huruma ya kipuuzi kabisa, alafu mijitu yenyewe tunayoionea huruma ni mifala flani hv haitakiwi kuonewa huruma.Tukianza kuwauzia unga badala ya mahindi nashahuri kwenye mifuko ya unga waandike "Kwa hisani ya wakulima wa Tanzania"