Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wamehama mpaka county 🤣🤣🤣🤣, huwezani mzee utapasuka msamba .. Battle ni Dar vs NAIROBI au Ni Tz vs Kenya ili nikunyooshe vizur.. weka mambo sawa, na ni battle ya miji mipya au miji ile ile .? 🤣🤣🤣
For your information Thindagua is in Nairobi Metropolitan. Don't be confused young man😂😂😂
 
Yeah hata mimi najua Kiambu county ni NAIROBI metro 🤣🤣🤣🤣🤣
You don't know anything fool😂😂

images (8).jpeg
images (5).jpeg
 
We don't talk about those shacks you idiot. Dar is filled with shacks. Hata Kampala imeshindwa Dar in real estate development.

These are currently completed houses in Kampala.

View attachment 2352191
Na hz ni moja kati ya maelfu ya nyumba mpya zilizojengwa Dar recently, don't forget kwamba Dar is ahead ka Nairobi interms of real estate price according to WB.
tapatalk_1605076968337.jpg
tapatalk_785946717_621x349.jpg
image_downloader_1656939817579.jpg
Screenshot_20211115-182121.jpg
 
MAUMIVU., hadi unajichanganya, historia picha za Nigeria, Nairobi wakati gari zilikua KB something..., utanyooka.., mko zaidi ya Kenya kwa watu zaidi ya milioni kumi na mbili sio tano porojo peleka mbali.., 64M against 47M.., alafu karibia nyote ni fukara, inakuuma sana, Nigeria loading in Tanzania, Lagos loading in Dar
Hapa hamtoki ata kwa miaka mia moja mbele..,
View attachment 2352234
View attachment 2352223
View attachment 2352225
View attachment 2352227
View attachment 2352229
View attachment 2352230
View attachment 2352231
View attachment 2352232
View attachment 2352233

View attachment 2352235
Kaumia
 
Dar wanayoijua hawa wakunya ni Magomeni, Tandale, Buguruni, mbagala, kipawa, vingunguti , yo huku kote ni Uswahilini na ni makazi ya watu maskini tu,
Wanaijua vizuri sana Dar wala asikuongopee mtu, hatujaanza leo hii battle kiongozi, ni vile wanataka tuwe sawa kwa umaskini wao.
 
🤣🤣🤣 Serikali yetu imesema wapi kama Tz nzima inajenga 1.5k houses annually 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 leta hiyo taarifa, maana naona unakunya tu.. nataka pia ulete hizo Taarifa in a tinny town like NAIROBI inayoonesha kwamba eti mnajenga 16k houses annually 🤣🤣🤣 unasahau kama DAR alone is Three times larger to NAIROBI na hilo eneo lote ni covered by houses hakuna misuti DAR mzee 🤣🤣🤣
kila uchao unadai eti dar inaizidi nairobaa mara tatu ×3.. na kwamba dar hakuna msitu na eti kwamba nairobaa, sehemu kubwa ni msitu..🤔 mbona sikuelewi?

na hii googleearth nimewahi posti humu mara kadhaa hadi nikachoka..

please just take tyme and have a look at this image carefuly, then give me your take please please I begg 🙏🏽🙏🏽
I ll realy appreciate if u give me some insights about this satellite image..

Screenshot_20220223-210905_Earth.jpg
 
Back
Top Bottom