Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha mchezo wa kupost takataka humu alaf eti ulinganishe na DAR 🤣🤣
Truth hurts, a second city kuiaibisha Dar😜🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣, poleni watani, Kuna siku na nyinyi mtakua na mji wa pili kiwango cha Dar, ni miaka mingi mbele, jipe matumaini na ka Dodoma., pengine kwa miaka 50 katajaribu pia🤣🤣🤣🤣🤣.,
 
Unaandika huku roho inakusuta 🤣🤣🤣
 
Screenshot (99).png

hahaaaaa wacha nicheke mie
 
It has exposed vile tunawatafuna bila huruma, Kenyans too are the beneficiaries of the export revenue, so whenever u post Tz annual export revenue jua pia na sisi tumeimega.,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo kuanzia Sasa Ile kauli ya kwamba Tanzania inauza "cheap" goods to Kenya sitaki kuisikia tena[emoji54][emoji54][emoji54]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
tanganyika kufika hizi levels na cnn, one on one, bado itasalia kua ni ndoto ya 2075 na uko!

Back
Top Bottom