Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

-im0n7x.jpg
 
Sio gorofa ni nini.? 🤣 Many high rise buildings in Upanga ar of 17 floors and above mpaka 30 floors.. unlike in your so called CBDs .. ukibisha pia tunaenda ground ..

🤣 🤣 🤣 name me one building in Upanga that has 30 floors.

In Kenya, all the 3 major CBDs have over 30 floor buildings.
 
Umeona ujinga wa make up, angalia mv likoni iliyopigwa make up alafu na Mv Likoni bila make up zen piga hesabu hayo mazingira ya picha bila make up itakuwaje.View attachment 2349133View attachment 2349137
Ingia google earth then zoom, Mombasa ina aibisha Dar wazi wazi., that place looks far better kuliko picha kilaza.., and focus sio ferry, hilo eneo linaitwa Likoni Ferry., and is that even MV Likoni ama ume guess tu? Mtanyooka, jibu zero😂😂😂😂😂
 
🤣 🤣 🤣 name me one building in igUpanga that has 30 floors.

In Kenya, all the 3 major CBDs have over 30 floor buildings.
Uhuru height 27 storeys together with Viva tower 21, and umoja wa vijana tower 22 👇
35_1.jpg
cb7eec7f_z(0).jpg
umoja wa vijana tower 22 floors👇
1-2(1).jpg
.. bonge kwenye kila district yapo majengo marefu kibao 🤣🤣 the rest of Upanga is like this 👇
mydaressalaam_1633824436919278.jpg
storytellerbrand.tz_1646758303768766.jpg
f89fd66f-b0e6-43c8-8451-a855259edf93-1-jpeg.2349337
na bado hii hatuiti CBD 🤣🤣 ..
 
Attachments

  • F89FD66F-B0E6-43C8-8451-A855259EDF93 (1).jpeg
    F89FD66F-B0E6-43C8-8451-A855259EDF93 (1).jpeg
    134.2 KB · Views: 27
  • e63e0d4fe917c1681c8fb690b533c505.jpg
    e63e0d4fe917c1681c8fb690b533c505.jpg
    640.9 KB · Views: 10
Hauoni Aibu.? 🤣🤣🤣 mana naona unakaza tako kulinganisha mbingu na Ardhi 🤣🤣
Maneno nenda ukawape vilaza kama wewe vijiweni.., picha zinajieleza, wewe vumilia kama jibu hauna., uliweka picha nikajibu kwa picha, nazo zinajieleza wazi wazi., So shut up, wacha dunia ijionee tofauti kati ya Mombasa na Dar ilivyo nadra, almost zero😂😂😂😂😂
 
Huoni Aibu mzee .? 🤣🤣🤣 Umetahayari mpuuzi wewe
 
Huoni Aibu mzee .? 🤣🤣🤣 Umetahayari mpuuzi wewe
Empty talks, Mombasa baba lao😂😂😂😂😂., kwenu ni aibu na uchungu mno, poleni sio makosa yetu, sisi nikuwaonyesha Mombasa kwa picha bila maneno mengi, zoea kwa vile na bado.
 
we
Empty talks, Mombasa baba lao😂😂😂😂😂., kwenu ni aibu na uchungu mno, poleni sio makosa yetu, sisi nikuwaonyesha Mombasa kwa picha bila maneno mengi, zoea kwa vile na bado.
wewe naona una ugonjwa wa akili maana unacheka sioni sababu alafu ata alina aibu unaongea kiswahili kichafu pita shule kwanza
 
Back
Top Bottom