Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehehe Yani Tanzania a country of 65M people is building same number of houses in a year as Kisumu a county of 1M ?

This is the ranking.

Nairobi 16, 200
Tanzania 1,153
Kisumu 582
Mombasa 504
Nakuru 484
Eldoret 332
Sasa hivi mnatucheka kwa sababu hatuna Rais ...kwa sasa tunakubali kushindwa na hii miaka ya samia mkitumia vizuri mtatuacha mbali sana ...serikali ya samia imefirisi nchi kwa sasa..
 
Hivi wewe ujinga wako ni kiasi gani?, Siku zote wewe na wajinga wenzako hapa mlikua mnasema Tanzania tunauza mahindi ambayo ni "cheap export", Leo kwasababu umegundua kwamba Kuna wakenya pia wanafanya hiyo biashara, ghafla umegeuka unasema wanapiga pesa nyingi kwa kuuza mahindi Kenya toka Tanzania.

80% ya wafanyabiashara wa mazao kutoka Tanzania ni watanzania, hiyo 20% iliyobaki ni wakenya, Rwanda, DRC na Burundi. Hizo exports permits zimezuiliwa kwa raia wa nchi zote kusafirisha mahindi toka Tanzania, sio wakenya pekee, lengo ni kuwalinda raia wa Tanzania kwa kuongezeka kwa Bei ya vyakula


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
It has exposed vile tunawatafuna bila huruma, Kenyans too are the beneficiaries of the export revenue, so whenever u post Tz annual export revenue jua pia na sisi tumeimega.,😂😂😂😂😂😂😂😂
 
The number of new buildings being built in Nairobi alone is 16 times bigger than the Numbers of new buildings being built in entire Tanzania…
Sasa hii Ina faida gani wakati inajulikana kuwa watu na mifugo tele wanakufa njaa?
 
The most transparent election in Africa, the most independent judiciary in Africa. Tanzania is envying the democracy in Kenya.

Screenshot_20220907-145112_1.jpg
 
The number of new buildings being built in Nairobi alone is 16 times bigger than the number of new buildings being built in entire Tanzania.

Nairobi
View attachment 2348790


Tanzania
View attachment 2348792
Na kwa hizo ujue zile uswazi zao hawa hesabu, coz they are increasing rapidly, ziko on steroids, must be 100,000 in a year just Dar alone 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Sasa hii Ina faida gani wakati inajulikana kuwa watu na mifugo tele wanakufa njaa?
Weka hapa hao watu tele wanao kufa njaa tuone, statistics 2022?.., mbona ukweli ya kuonyesha hali yenu huwa inawakera hivyo? ukweli mnchungu, mko na nchi kubwa, uchumi hafifu, low development on average, watu wengi mifukara, uzembe, ushamba....., 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Sio eti tutawaacha, tuliwaacha mbali tokea zamani. ila matumaini ya kutufikia ndio inadidimia
Siyo kweli ila kama ujui uchumi ...maisha ya mtz ni mepesi na bora kuliko maisha ya nchi zote za africa ya mashariki na kati sababu ni mfumo wa ujamaa ulisaidia sama kuthibiti mabepari wenye uchu ...hapa dar es salaam unapata kiwanja hadi sh milioni moja 25 x25 je nairobi au mombasa unaweza kupata kwa hiyo bei ksh50000
 
Nawewe unakubaliana naye

Daah!! Pole sana
Yani hali ni mbaya serikalini sema nyinyi amjui tu sasa hivi hata umeme tutapandishiwa bei pia mafisadi wa kiarabu wamejipanga kumiliki serikali kwa manufaa yao ...mm ninawaambia ukweli sasa hivi tusithubutu kujipiga kifua mbele ya wakenya
 
Unajua unaweza kusafiri kwa Train toka Dar es Salaam Mpaka Cape Town? Hiyo TAZARA wakiiweka poa waunganishe na hizi reli zote za SADC ili kuwe na frequent trains za Dar to South Afrika kupitia Zambia, Malawi, Mozambique, Namibia mpaka South. Hawa jirani zetu tuwaache na tembo mweupe wao sisi wa SADC tuendelee kurahisisha maisha kama zilivyokuwa ndoto za our founding fathers.

FED3A12D-978F-427A-9B2C-91315F5B3BEC.jpeg
 
Eti lowest una kicha wewe 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 , hiyo ndio standard housing ya raiya wa kawaida, kwani Dar nyote ni lowest? kwa vile hiyo ni representation ya 90% ya jiji.., google earth pia ita confirm, wacha kujikosesha ufahamu, kumbe DSTV ni big deal uswazi country!😂😂😂😂 mko hovyo taifa mzima😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

View attachment 2348832
View attachment 2348833
View attachment 2348834
View attachment 2348836
Ndio hatukatai lakini ni block sio tope na shacks kama zikizotapakaa kila kona ya naipori, Mombasa tumeshakubaliana ni Africa's mud huts HQ 😂😂😂
 
Back
Top Bottom