muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,854
Nenda zako huko bwana! Hebu tuache na raha zetu!Reading through this thread najipata kustaajabu , both dar and Nairobi globally tuko so insignificant ,poor financial flows,poor planning ,poverty,illiteracy levels,slums,underage pregnancies,corruption ,poor health ,Yaani you name it ,it exists in both,miji ambayo majority wanaunga tu mama ntilie eti tunacompare , ingekuwa new York,Beijing,Shanghai ,Tokyo,Amsterdam ,Washington ,London cities ambazo their activities are so important ndizo zinakuwa compared ,sio vijiji Kama Nairobi au dar ,hamna exports za maana zinazotoka from both , mine is a point ,hii thread iwe intellectually driven offering solutions ,mwaposti barabara mijengo sijui GDP ,kwani mwala mijengo na GDP .
Hebu intellectualism na maturity in economic case studies
If tupo serious compare both cities to Beijing ,then mlete mrejesho hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nenda zako huko bwana! Hebu tuache na raha zetu!
Hahahaha, hata kuhusu njaa Kenya pia Wanadanganya?[emoji38][emoji38][emoji38]Kwa hiyo link yako ume post humu, can u tick the boxes on the following [emoji116] highlighted points as far as Tanzania is concerned kiukweli?., in such a study, in the world of academia, u have to subject the findings to a test to verify what the report is claiming. So if I may ask u, which research tools do u think they used to "measure" democracy in Tanzania specifically?
Tanzania hapa mko below par.., thus I strongly rubbish this world population review report on democracy, they guessed tu, facts speak otherwise ukilinganisha na the [emoji116] criteria they use to determine a 'democracy' as indicated below...,
View attachment 2347515
Kwasababu hamna reli ya umeme, huna haki ya kuzungumza lolote kuhusu reli ya umemeEven MGR can have electric trains. So your point is vague.
Jalala liko wapi hapo, au hayo majengo mawili ambayo hayajapakwa rangi, au umeanza kuwa kichaa cku hz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wallahi Mombasa ni ghetto na haistahili kuitwa City. Nimeangalia kdg tu ikanichefua, nmeachana nayo aiseee [emoji2961][emoji2961][emoji2961]Jalalani
Tatu na Konza hazistahili hata kuitwa village mana hazina majengo wala watu, mji una watu 50 nao unaita village?Kwani Tatu na Konza City zitakuwa miji ya binguni?
Vipicha hivi hivi tangu mchana na bado vimepigwa make up ya nguvu ila ukweli wa Mombasa ni huu hapa, ghetto la kwenda [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naenda zangu mimi, wacha niwaachie Bamburi Mtambo.., vs Dodoma.., [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Estate in Mombasa inanyonga Capital City ya Tanzania
View attachment 2347938
View attachment 2347934
View attachment 2347935
View attachment 2347937
Kenyans 🤣🤣.. mji wao hauna hata nyumba 50 eti wanaita CityTatu na Konza hazistahili hata kuitwa village mana hazina majengo wala watu, mji una watu 50 nao unaita village?
yani, nimepigwa na butwaa🙀🙉 hivi, at the very deep heart of dar cbd kumbe inakaa hivi🙀Vipicha hivi hivi tangu mchana na bado vimepigwa make up ya nguvu ila ukweli wa Mombasa ni huu hapa, ghetto la kwenda [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2348170View attachment 2348171View attachment 2348172View attachment 2348173View attachment 2348174View attachment 2348176
Nikisema wajifunze from Nairobi kuunda parking spots around CBD wanakasirika. Sasa ona hio parking. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣yani, nimepigwa na butwaa🙀🙉 hivi, at the very deep heart of dar cbd kumbe inakaa hivi🙀
View attachment 2348186
hio ni kweli kabisa bro.. 😆Nikisema wajifunze from Nairobi kuunda parking spots around CBD wanakasirika. Sasa ona hio parking. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
This is not CBD standard bro. I would give accolades if it was in the Estates. Ona mchanga kule. You're lucky Dar does not have red soil otherwise the contrast between mchanga na barabara ingeharibu kabisa.🤣 🤣 🤣