Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Safi sana , now we need a clear move to bridge the gap in Human Resource,
More health care professionals to be recruited, plus capacity building to the existing ones,
Kuna upungufu mkubwa sana wa Specialists, inatakiwa juhudi za makusudi kuongeza idadi ya madaktari bingwa hasa kwemye maeneo ya Dermatology, Nephrology, Gynecology, Neurology, Cardiovascular, pamoja na Internal Medicine.
Kwa sehemu walau tumejaribu kwenye eneo la Pediatrics na Orthopedic.
Let them not forget Psychiatrics cause wengi wenu ni vichaa.
 
Mloganzila Hospital, DSM
You won’t find such modern facility in some wretched failed states like Kunyaland,
And mind you this is a Public institution..View attachment 2345742

View attachment 2345743
View attachment 2345744
View attachment 2345745
View attachment 2345746
View attachment 2345747
Fikieni huku ndio muongee
1662312331352.png

1662312378345.png
 
Reminder.. posta 👇
daressalaamcity_1644954589780352.jpg
george__255_1655840255066305.jpg
serikali ikifanikiwa kufanya renovation hapa Posta, na kuondoa baadhi ya majengo ya zamani .. wala sioni CBD yoyote hapa EA ya kuipiku posta, since hakuna CBD kwabwa EA kuliko Posta..
 
Attachments

  • malembosimbano_1644415413014354.jpg
    malembosimbano_1644415413014354.jpg
    84.5 KB · Views: 12
Safi sana , now we need a clear move to bridge the gap in Human Resource,
More health care professionals to be recruited, plus capacity building to the existing ones,
Kuna upungufu mkubwa sana wa Specialists, inatakiwa juhudi za makusudi kuongeza idadi ya madaktari bingwa hasa kwemye maeneo ya Dermatology, Nephrology, Gynecology, Neurology, Cardiovascular, pamoja na Internal Medicine.
Kwa sehemu walau tumejaribu kwenye eneo la Pediatrics na Orthopedic.
Specialists ni wa wachache sana wakiitwa wote pale ukumbi wa JNICC hawajazi ule ukumbi...yani sidhani kama wamefika close to 1000
 
Unapenda ugomvi sana...Tuwasubiri lakini
Kweli bhana, nimepimisha kile ki CBD chao nikaona Ni kadogo, Hakana majengo mengi ya vioo mazuri, vijengo vingi ni less than 5 floors, sa Posta ikipata renovation ndogo sana kuondoa tu hizo gorofa za zamani zinazoning'inia nyaya za umeme, then tukazireplace, kitakua hakuna comparison tena hapa ndani. Kwasababu Posta ni kubwa mara mbili ya hako ka Sibidii kao
 
Back
Top Bottom