Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mloganzila Hospital, DSM
You won’t find such modern facility in some wretched failed states like Kunyaland,
And mind you this is a Public institution..View attachment 2345742

View attachment 2345743
View attachment 2345744
View attachment 2345745
View attachment 2345746
View attachment 2345747
The Russia Hospital, Kisumu city..
as in, its deeply a public/gov't owned property

FXUBpjrXwAEhVBL.jpeg
FXUBnuwXwAAGzfZ.jpeg
FXUBscEXoAID4Vt.jpeg
FXUBq9eXwAAqLoK.jpeg
 
Yule Bwana ndie mwanzilishi wa Tozo, sema yeye alianzisha kwenye mafuta (TARURA) kila lita ya mafuta kuna fungu la ujenzi wa barabara.

SSH aliongeza kwenye mihamala ya simu, bank na kuboresha ya mafuta. Baada ya kuona TARURA ina mafanikio akaongeza maji vijijini (RUWASA) , elimu na Afya.
Zifanye kazi basi sawa sawa na matarajio ya wengi, tusiumie kwa ajili ya wachache mzee.
 
Kulikuwa na miradi ya Millenium Challenge Development Goals kwa hisani ya watu wa Marekani ili fund miradi mingi ya maendeleo kwa matrillion, sema uchaguzi wa Zanzibar wa 2015 zile figisu alizofanyiwa Maaalim Mmarekani akajitoa....

Ndio tukaja na kauli mbiu Mabeberu wasituingilie kwenye mambo yetu ya ndani na nchi yetu ni tajiri tunaweza kuishi bila kuwategemea.

Kilichofuata
Serikali haikuajiri kwa miaka sita
Hakuna nyongeza ya mishahara kwa miaka 6
Bado report za CAG hazikuwa na uwazi/ ukweli (editing)
Na bado deni la nchi lilipaa kwa speed ya 5G
Hivi zile pesa za MCC nazo vipi bado wanazingua au tumesharudishwa kwenye kundi la wanufaika?
 
Hili suala la sukari, naomba azam waanze kwa kuuza bei ya chini.. watapata wateja haraka.. na itawaforce wazalishaji na wauzaji wengine baadae kuuza sukar zao pia kwa bei ya chin
Kwenye sukari sijui kuna kitu gani kwenye bei.

Ebu fikiria Kagera sugar kiwanda kipo Kagera lakini sukari inauzwa 2800,pale Mutukula border ya Tanzania na Uganda sukari inauzwa shilingi 2000 mpaka ndani mwa Uganda.

Kwahiyo usishange bei ikaendelea kuwa kizungumkuti hata baada ya uzalishaji wa sukari kuwa mkubwa. Tatizo sijui ni nini hapa [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Haya ni mabweni ya wanafunzi au ni hospitali
That's one of the biggest hospitals in EA, there is no bigger hospital than it in Tanzania. Your minister of health came to admire the hospital and went ahead to beg if Tanzanians can come for treatment there.
 
Kweli bhana, nimepimisha kile ki CBD chao nikaona Ni kadogo, Hakana majengo mengi ya vioo mazuri, vijengo vingi ni less than 5 floors, sa Posta ikipata renovation ndogo sana kuondoa tu hizo gorofa za zamani zinazoning'inia nyaya za umeme, then tukazireplace, kitakua hakuna comparison tena hapa ndani. Kwasababu Posta ni kubwa mara mbili ya hako ka Sibidii kao
So your CBD only have 8 buildings of 20 floors and above? No wonder Dar is still in the level of Kampala 😂😂
 
Back
Top Bottom