Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Likijaga suala la dini watu wanasema zimeletwa na wazungu na Waarabu tunatakiwa tufuate asili zetu.
Ila kwenye mambo ya vitu na maendeleo hawasemi tuache magari tutembee kwa miguu au tuishi kwenye mapango nk.
 
Ubungo, Hilo jengo ni lile lilolokua la Wizara ya Maji walilochukua Dawasa, Hapo ndio panapoanzia kupanda daraja la ubungo upande wa Sam Nujoma kuelekea upande wa pili Mandela Road.
Direction ya Morogoro inakanganya au chini ya flyover ukiingia outer Lane unapata kibao cha kwenda kulia?
 
Direction ya Morogoro maana yake anapita lane ya Chini na kukunja kulia kule mbele kuelekea KimaraπŸ˜€
Lazma kutakuwa na kibao (signare) nyingine la sivyo utaenda city center kama mgeni wa jiji!
 
Sijakataa...shenzhen yaonekana ni mji mkubwa but miami ni mji mzuri
Labda kwasababu umeuleta kwa mbali na Shenzhen unaonekana kwa ukaribu ila uki compare the two, Shenzhen inaonekana nzuri zaidi kwa Miami. Kama unaweza leta picha zaidi tuendelee kulinganisha.
 
Afrika bado tuna safari ndefu sana. Sisi [emoji2211][emoji2211][emoji2210][emoji2210],wenzetu [emoji2089][emoji2089][emoji2088][emoji2088]
 
Afrika bado tuna safari ndefu sana. Sisi [emoji2211][emoji2211][emoji2210][emoji2210],wenzetu [emoji2089][emoji2089][emoji2088][emoji2088]
Umeona eeh [emoji2][emoji2][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…