Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Debate was "Eastlands" ya hizo miji mitatu..., na wewe uko na jibu?..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.. usilazimishe kila mji uwe na maeneo machafu.. ARUSHA ni classic City haiwezi kuwa na maeneo machafu kama hiyo kwa jina la Eastland .. nje ya CBD ARUSHA maeneo mengine ambayo ni muhimu ni haya 👇
Screenshot_20220829-204959_1.jpg
Screenshot_20220828-121859_1.jpg
Arusha-1.jpg
Screenshot_20220823-200241_1.jpg
WhatsApp-Image-2021-10-05-at-5.24.13-PM-950x633_1.jpeg
hapa 👇
Screenshot_20220829-224729_1.jpg
hizi ndio Eastland za ARUSHA, sio yale mauchafu unayopost wewe 👇
1661850582887.png
nje ya Arusha CBD still kuna maeneo yenye hadhi kuliko hiyo CBD yenyewe.. usifosi tufanane
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.. usilazimishe kila mji uwe na maeneo machafu.. ARUSHA ni classic City haiwezi kuwa na maeneo machafu kama hiyo kwa jina la Eastland .. nje ya CBD ARUSHA maeneo mengine ambayo ni muhimu ni haya 👇View attachment 2339845View attachment 2339846View attachment 2339847View attachment 2339848View attachment 2339863hapa 👇View attachment 2339850hizi ndio Eastland za ARUSHA, sio yale mauchafu unayopost wewe 👇View attachment 2339851nje ya Arusha CBD still kuna maeneo yenye hadhi kuliko hiyo CBD yenyewe.. usifosi tufanane
Wewe ata mawingu ya white or grey unaweza kubisha na kusema mawingu ni yellow., uko na ugonjwa flani wewe 😂 😂 😂 😂 😂
 
Ukikubali kushindwa hautakufa 🤣🤣🤣🤣
Yaani huyu mtanzania aliye chukua clips za Arusha kafika Kisumu, hakuenda CBD alitembea pande za down town., lakini kuna tofauti kubwa na Arusha, tokea soko hadi magari in Arusha matatu ni old model kama yoote.., tazama Kisumu., streets look better na ni down town, new model hiece kwa wingi.., hakuingia CBD😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Yaani huyu mtanzania aliye chukua clips za Arusha kafika Kisumu, hakuenda CBD alitembea pande za down town., lakini kuna tofauti kubwa na Arusha, tokea soko hadi magari in Arusha matatu ni old model kama yoote.., tazama Kisumu., streets look better na ni down town, new model hiece kwa wingi.., hakuingia CBD😂😂😂😂😂😂😂😂

Kichapo ulichokula Leo hitorudia tena maishani 🤣🤣🤣🤣
 
Yani kwa akili yako ulitaka kisumu ifanane kila kitu na arusha?kwamba ilikua ni lazima kue na mtaa wenye flats kama huo for a comparison?

Arusha kuna culture yake tofauti sa usilazimishe mambo
My point was never about flats per'se, ila standard ya makazi za watu wa kawaida boss, of which unfortunately I discovered long ago in Mwanza and Arusha ziko more or less the same look kama zile za Dar, ukiwacha high end residential, and this is what I have observed across Tanzania on average.., I knew what I was doing, nilitaka tofauti na Kenya idhihirike wazi, nilijua wenzako hawata post kwa vile kuna tofauti na ni aibu, I wasn't surprised walipo kataa ku post, tayari najua ziko vipi, but wamejua tofauti, my objective was realized, point driven home, u can try other Kenyan towns too..,
1661860132916.png
 
Back
Top Bottom