The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
What is CAF?Kawaulize CAF imekuaje ligi ya Tanzania iwe kati ya ligi bora Afrika na hawajashinda kitu.
Bangi mbaya SanaKila Siku huwa nasema Tanzania ina Majiji 3 tuu..
Dar,
Dom,
Arusha..
Huko kwingine ni cluster za houses hakuna hata hadhi za Jiji..

Watahudhuria vikao vyote na kuchanganua Jukumu na Uhuru wa Idara ya Mahakama katika kuchunguza mizozo ya Uchaguzi
Better Tz cause we are not over burdened by chinese debt.Duu,ukiwa mkubwa kuna faida na hasara![]()
Ongezea na gongo mkuu maana huyo kunguru anatumia vyoteBangi mbaya Sana![]()
Siku ile Mwanza ama Arusha itakua na "Eastlands" yao kama hii hapa 👇 ya Kisumu njoo tujadiliane..,Lakini Arusha kuna zaidi ya hayo yako tayari siku nyingi nyie ndio mnajenga saizi.
Ongeza volume mkuu...,Kila Siku huwa nasema Tanzania ina Majiji 3 tuu..
Dar,
Dom,
Arusha..
Huko kwingine ni cluster za houses hakuna hata hadhi za Jiji..
That's just an observant. He will have zero impact on the outcome of supreme court judgement.Hivi ndivyo Tz huwa tunafanyaga tukitaka kuwawekea wakenya Raisi tunayemtaka tunafanya hivyo
#KENYA: Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mohammed Chande, ataongoza kundi la Majaji 5 kwa ajili ya kuangalia mchakato wa kesi ya Pingamizi la Urais
#KenyaDecides2022View attachment 2338415
Nikuulize, tokea January hadi leo hii, tofauti ya USD to TSHs ni ngapi? ina maana hauelewi financial markets wewe, licha ya internal factors, kuna global factors why the dollar is bullish. Dollar kwa sasa iko very strong against all major global currencies, sembuse Kenya ama fukara kama Tanzania? tazama vile dollar imenyorosha pound, Australian dollar na Euro.., tokea mwanzo wa mwaka, trend ni downward.., check the charts.., kisha weka hapa chart ya Tanzanian shillings against the dollar tuone, a net importer country za third world kwa sasa pesa yake haiwezi kukua strong than the dollar..,Niliwahi kusema hapa ndani mpaka mwisho wa mwaka hili dafu litafika 130.
![]()
Kenyan Shilling Falls To Ksh 119.9, Lowest In History
Kenyan shilling continued to depreciate against the US dollar to close the week at 119.9 shillings, a 0.3% depreciation from 119.6 shillingssokodirectory.com
Kenyan Shilling Falls To Ksh 119.9, Lowest In History
sokodirectory.com
Aug 29, 2022 9:12 AM
KEY POINTS
Pressure on the shilling will continue coming from the high global crude oil prices on the back of persistent supply chain bottlenecks coupled with high demand as most economies gradually recover.
KEY TAKEAWAYS
The shilling is however expected to be supported by the sufficient Forex reserves are currently at USD 7.6 bn (equivalent to 4.4-months of import cover), which is above the statutory requirement of maintaining at least 4.0-months of import cover, and the EAC region’s convergence criteria of 4.5-months of import cover.
During the week, the Kenyan shilling continued to depreciate against the US dollar to close the week at 119.9 shillings, a 0.3 percent depreciation from 119.6 shillings recorded the previous week.
The continuous melting of the shilling was partly attributable to increased dollar demand from the oil and energy sectors against a slower supply of hard currency.
On a year-to-date basis, the shilling has depreciated by 6.0 percent against the dollar, higher than the 3.6 percent depreciation recorded in 2021.
Pressure on the shilling will continue coming from the high global crude oil prices on the back of persistent supply chain bottlenecks coupled with high demand as most economies gradually recover.
An ever-present current account deficit due to an imbalance between imports and exports, with Kenya’s current account deficit estimated at 5.3 percent of GDP in the 12 months to May 2022 compared to the 5.0 percent within a similar period in 2021 will pile pressure on the local currency.
The aggressively growing government debt, with Kenya’s public debt, has increased at a 10-year CAGR of 18.2 percent to 8.6 trillion shillings in May 2022, from 1.6 trillion shillings in May 2012 thus putting pressure on forex reserves to service some of the public debt.
It is worth noting that the average GDP growth over the same period has been 3.9 percent, indicating that the increase in debt is not translating into GDP growth.
The shilling is however expected to be supported by the sufficient Forex reserves are currently at USD 7.6 bn (equivalent to 4.4-months of import cover), which is above the statutory requirement of maintaining at least 4.0-months of import cover, and the EAC region’s convergence criteria of 4.5-months of import cover.
Sufficient diaspora remittances are evidenced by a 6.6 percent increase to USD 3,995.0 mn cumulative remittances as of July 2022, compared to USD 3,442.0 mn recorded over the same period in 2021, which has continued to cushion the shilling against a faster depreciation will also support the shilling.
Hivi hamuoni kama huu ni uchafu?Siku ile Mwanza ama Arusha itakua na "Eastlands" yao kama hii hapa 👇 ya Kisumu njoo tujadiliane..,
View attachment 2338435
View attachment 2338436
View attachment 2338438
Leta safi ya Mwanza tuone.., uchafu wewe unajua hizi mitaa kweli? yaani mitaa za raiya, sio zile ya posh estates za kisumu kama akina Milimani na Riat hills, najua Mwanza raiya wanaishi kama tu wale wa Dar, uswazi type houses.., ona kwa karibu "Eastlands" ya Kisumu 👇 👇 ..,Hivi hamuoni kama huu ni uchafu?
Hizi nazi categorize as high end apartments in Arusha.., yaani kisumu nikibao.., makazi ya raiya kama kisumu nataka kuona 😂😂😂😂😂 kama ni apartments za kifahari Kisumu usitaje..,Arusha Apartments
View attachment 2338476View attachment 2338477View attachment 2338478View attachment 2338479View attachment 2338480View attachment 2338481View attachment 2338482View attachment 2338483View attachment 2338484View attachment 2338485View attachment 2338486View attachment 2338488View attachment 2338489