Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwez kuitaja Arusha peke yake unaiogopa Sana Chuga
Yaani najaribu kuwaondolea aibu naichukua Arusha na Mwanza kwa pamoja zisaidiane kupambana na Kisumu lakini wapi., hauoni ni aibu wewe 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Nje ya Dar, iwe Mwanza ama Arusha, ama popote pale haupati such standard kwa hii density..., ni ushuzi ndio utapata in such concentrated density, ama namna gani Sama boy 255 😂😂😂😂😂😂😂😂
View attachment 2339813
Density gani baba .? 🤣🤣🤣 Si ni hapa au.? 👇hakuna hata lami
1661850582887.png
linganisha na hapa sasa 👇
Screenshot_20220829-224729_1.jpg
ila Naya feel maumivu yako 🤣🤣🤣
 
Huku ndio hutaweza kabisa 🤣🤣🤣 Njiro ARUSHA 👇View attachment 2339803View attachment 2339804ngaramtoni ya chini 👇View attachment 2339805View attachment 2339806View attachment 2339807burka City 👇View attachment 2339808yani Kisumu ni joke tu mbele ya ARUSHA mzee, don't dare to compare them 🤣🤣🤣🤣🤣
Kwahyo hii post 👆 haujaiona.? 🤣🤣🤣🤣, Au unataka makazi ya kawaida gani.?
Sina haraka nangoja tu makazi ya raiya wa kawaida? unazo kilaza?., any?
 
Kwahyo hii post 👆 haujaiona.? 🤣🤣🤣🤣, Au unataka makazi ya kawaida gani.?
Kilaza mimi sio mwehu..., ukitaka tuende na google earth be my guest.., in Mwanza na Arusha hakuna jibu kwa Kisumu, makazi ya kawaida nazijua bana, kama una jipya haya basi uwanja ni wako, weka all angles 😂😂😂😂😂.,
 
Nayajua maumivu unayoyapata, Aibu, limekushuka maskini, kila mtu unaodandia unavunjika 🤣🤣🤣, muungwana akivuliwa nguo hasimami huchutama.. kibali kushindwa yaishe. Au ipotezee kiaina, mana ni Aibu
 
Dah unajichekesha maskini ya Mungu 🤣🤣🤣🤣, pole sana
Weka basi moja tu ijibu hii hapa.., mtaa moja tu wa raiya? iwe Mwanza ama Arusha.., ukipata nafunga account JF..., ama unataka tuende kwa posh estates?.., kwa maana kwa hili mmeshindwa kabisa?
1661852901144.png
 
Nayajua maumivu unayoyapata, Aibu, limekushuka maskini, kila mtu unaodandia unavunjika 🤣🤣🤣, muungwana akivuliwa nguo hasimami huchutama.. kibali kushindwa yaishe. Au ipotezee kiaina, mana ni Aibu
Jibu hauna mimi nitapatwaje na aibu dogo?., hii sasa ni KO! Kalala chali, hesabu zimefika kumi ata kuinua kichwa huwezi, blackout 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
tuusan nataka unijibu kiukweli, battle ni makazi ya kawaida ya raiya, yaani "Eastlands" ya Arusha, Mwanza na Kisumu.., wenzako wamekimbilia Villas, Hotels, resorts na posh estates za wachache.., sioni density ya makazi ya raiya wa kawaida either Mwanza ama Arusha.., google earth iko nazijua ila nataka wenyewe waweke.., ama mbadilishe debate..,
We nani aliekukataza kupost posh estates na hotels?
 
Sasa hiki ni nini umepost.? 🤣🤣. Yani kabisa hauoni aibu.? Vumbi kila kona
Jibu? Mwanza? Arusha?..., ni mtaa wa kawaida., Eastlands ya Kisumu mahali raiya wengi wamekusanyika.., 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
1661853199633.png
 
Oya Don YF wadigo Wana msemo wao wanasema "Ashindwae pia ni mume" kushindwa leo kusikukoseshe amani, subir Kisumu itafika level za ARUSHA one day then we utakuja hapa kuitetea, ila kwasasa hapana
 
Oya Don YF wadigo Wana msemo wao wanasema "Ashindwae pia ni mume" kushindwa leo kusikukoseshe amani, subir Kisumu itafika level za ARUSHA one day then we utakuja hapa kuitetea, ila kwasasa hapana
Nangoja jibu, Kiswahili nimejifunza ya kutosha dogo., ukipata jibu nitag tafadhali😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom