Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nowhere to be found in Kunyaland's soil!

FbZInpTWAAAZOTu

FbZIoDFWIAAgBtT

FbZIoZDX0AAnxeN

FbZIoqnWQAIQfe8
 
Huto tumji twenye mabweni na vijumba vya kufanana hata Stand hakuna..

Tanzania Stand za maana hadi Miji midogo,look here hapa ni Kakonko 👇
So what, watu wanaishi kwa hizo stand? an excuse ili ujiliwaze tu, jikubali tu, ata waganda wataturingia na masoko yao clasic sio ajabu, on average standards Kisumu iko juu ya Mwanza na Arusha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Oohps sorry sijamaliza burka City in ARUSHA
screenshot_20220829-232335_1-jpg.2339156
..https://youtu.be/4L_9dOvAqUY. Some other residential area kando ya CBD View attachment 2339165View attachment 2339166kisumu hazitawahi wezana na ARUSHA hata siku moja, that will never happen my dear bro, najua unaumia lakini hakuna namna huo ndio ukweli
Kitu wakenya walinyimwa ni kukubali wakishindwa na jambo,Arusha imezidi Kisumu kwa mambo mengi sana lakini wako kimya
 
Unapiga kelele mingi kama mbwa kichaa 🤣🤣🤣 Unaweza leta makazi ya watu wa kawaida from Kisumu kama haya in ARUSHA yenye this level of decent 👇View attachment 2339782View attachment 2339783lami kila kona, pedestrian Walk ways, sewage system, taa za barabarani and more.?
Haupati Arusha or Mwanza.., zingekuepo unge post humu angles zote..., ama unataka nikusaidie upande wa Arusha?..
Onyesha angles zote kama Kisumu..., battle iliisha, haupati jibu kutoka Mwanza or Arusha..
1661850523214.png

1661850541207.png

1661850559061.png

1661850582887.png

1661850628487.png

1661850782974.png
 
🤣🤣🤣 makazi tunayoringishiwa nayo from our neighbor's village center 👇
1661783250826.png
hakuna nata centimeter moja ya lami 🤣🤣🤣 Don YF. We huwa umerogwa au vipi.? Heb ona vile ARUSHA inakaa 👇
Screenshot_20220829-224729_1.jpg
Screenshot_20220829-224746_1.jpg
tofauti ya haya maeneo ni peponi na motoni 🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣 makazi tunayoringishiwa nayo from our neighbor's village center 👇View attachment 2339791hakuna nata centimeter moja ya lami 🤣🤣🤣 Don YF. We huwa umerogwa au vipi.? Heb ona vile ARUSHA inakaa 👇View attachment 2339795View attachment 2339796tofauti ya haya maeneo ni peponi na motoni 🤣🤣🤣
Hiyo hatuwaringii, tunaonyesha tu makazi ya kawaida, yenu ya kawaida hazina lami so usijitoe ufahamu, hiyo ni mitaa ya kawaida kama unataka za lami kila kona pia sema.., kama hii hapa Kisumu,..,
1661850965467.png
 
ARUSHA Ina makazi mengi ambayo yapo vizur hilo ni eneo moja tu 🤣🤣🤣 relax
Mitaa ya watu wa kawaida nah.., nenda kadanganye vilaza kama wewe...., ama nikuteremshie google earth?.., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Hiyo hatuwaringii, tunaonyesha tu makazi ya kawaida, yenu ya kawaida hazina lami so usijitoe ufahamu, hiyo ni mitaa ya kawaida kama unataka za lami kila kona pia sema.., kama hii hapa Kisumu,..,
View attachment 2339800
Huku ndio hutaweza kabisa 🤣🤣🤣 Njiro ARUSHA 👇
Screenshot_20220829-205142_1.jpg
Screenshot_20220829-205227_1.jpg
ngaramtoni ya chini 👇
Screenshot_20220829-205300_1.jpg
Screenshot_20220829-205451_1.jpg
Screenshot_20220829-205535_1.jpg
burka City 👇
Screenshot_20220829-232335_1.jpg
yani Kisumu ni joke tu mbele ya ARUSHA mzee, don't dare to compare them 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kitu wakenya walinyimwa ni kukubali wakishindwa na jambo,Arusha imezidi Kisumu kwa mambo mengi sana lakini wako kimya
tuusan nataka unijibu kiukweli, battle ni makazi ya kawaida ya raiya, yaani "Eastlands" ya Arusha, Mwanza na Kisumu.., wenzako wamekimbilia Villas, Hotels, resorts na posh estates za wachache.., sioni density ya makazi ya raiya wa kawaida either Mwanza ama Arusha.., google earth iko nazijua ila nataka wenyewe waweke.., ama mbadilishe debate..,
 
Wacha kulazimishaga vitu mzaee Kisumu hauiwezi ARUSHA kivyovyote... Sio makazi sio maendeleo.. kivyovyote vile..
 
Wacha kulazimishaga vitu mzaee Kisumu hauiwezi ARUSHA kivyovyote... Sio makazi sio maendeleo.. kivyovyote vile..
Weka makazi ya raiya wa kawaida, angles zote, aerial, google earth na kwa ground in a wide area, domo domo hadi lini? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Weka makazi ya raiya wa kawaida, angles zote, aerial, google earth na kwa ground in a wide area, domo domo hadi lini? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Kichapo unachokula bado unakaidi.? 🤣🤣🤣🤣 We jamaa ni mzimu wewe. Pole
 
🤣🤣🤣 makazi tunayoringishiwa nayo from our neighbor's village center 👇View attachment 2339791hakuna nata centimeter moja ya lami 🤣🤣🤣 Don YF. We huwa umerogwa au vipi.? Heb ona vile ARUSHA inakaa 👇View attachment 2339795View attachment 2339796tofauti ya haya maeneo ni peponi na motoni 🤣🤣🤣
Nje ya Dar, iwe Mwanza ama Arusha, ama popote pale haupati such standard kwa hii density..., ni ushuzi ndio utapata in such concentrated density, ama namna gani Sama boy 255 😂😂😂😂😂😂😂😂
1661852016137.png
 
Back
Top Bottom