Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

thats according to you?cause nkikuja kwa world class cities i doubt kama kuna any east africa
Nakuambia hivi Dar ni half world class city kwasababu ina almost 60% ya infrastructures zinazopatikana world class cities unazojua wewe, ujikaze wakati inaingia mana itatoka kama ilivyoingia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimetembeza kichapo mpaka jamaa wanaomba battle ya viwanda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]na aviation eti [emoji1787][emoji1787].. let me remind you something Teargas both ARUSHA and Kisumu have airstrips..
Ila uwakumbushe kwamba kutoka Arusha mpk Kilimanjaro ilipo KIA ukikaza kdg unatembea kwa mguu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama England mwanangu, kama nawaona wakihangaika mitandaoni kuzitafuta hizi picha wahakikishe je ni Arusha kweli au picha za Buckingham palace, yn kichapo ilichopata Kisumu village toka kwa Arusha hata shetani anaogopa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nairobi CBD street level.

20220830_063224.jpg
 
wakenya nanyi mwatuangusha humu ndani....mnacompare aje kisumu na arusha surely?the only city yakuchukulia serious in tz ni dar tu,hizo takataka zingine sijui arusha,mwanza,,sijui gani ingine ni wazicombine ndio mzishindanishe na msa,kiusumu or nakz
Unaongelea hiihii Kisumu isiyo na 4 star hotel sio?
 
Hivi we jamaa Don YF unakuaga na akili timamu.? ULIPATA wapi kujasiri yani huu upumbavu 👇View attachment 2339051View attachment 2339054🤣🤣🤣 vs 👇 ARUSHA outside CBDView attachment 2339055Arusha's economic backbone ambapo ni hapa 👇View attachment 2339064tafadhali sana .. omba radhi kwa watanzania wote waliopo humu ndani haraka iwezekanavyo ..
Yaani mitaa ya kawaida Kisumu imenyonga Mwanza and Arusha combined kwa mbali tena sana, yaani kwa mpigo, ilibidi mbadilishe debate mkimbilie villas na nyumba za wachache tu.., mko hovyo linadhihirika.., so stick to your lane, Kisumu sio level yenu bana, the city has both class and status kwa ujumla..., Kiswahili tu ndio mtanifunza kutokana na domo domo zenu, ata my swahili has improved sana.., that's all am learning from u, otherwise mengine mko zero.
 
Back
Top Bottom