Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna infrastructure ipo ka Nairobi ikakosa kuwepo Dar ila kuna infrastructures kibao zipo Dar huwezi kuziona East and Central Africa, chukua hiyo na uishi nayo.
😀 😀 😀 😀 😀...hiyo ndio line yako yakujidefend sio?nmekwambia tu simple leta mtu neutral mwenye amerank Dar juu ya Nai tuache huu ushabiki hapa.definetly wewe utasifia chako na mmi ntasifia changu,ndio maana game huwa na refa
 
Have someone ever told you that you are SI unit of Stupidity?😂😂

IMG_20210712_220639.jpg
 
😀 😀 😀 😀 😀...hiyo ndio line yako yakujidefend sio?nmekwambia tu simple leta mtu neutral mwenye amerank Dar juu ya Nai tuache huu ushabiki hapa.definetly wewe utasifia chako na mmi ntasifia changu,ndio maana game huwa na refa
Narudia tena, MJI WOWOTE AMBAO HAUNA BRT SYSTEM, CABLE STAYED BRIDGE, MODERN AIRPORT, OR ELECTRIFIED SGR huo mji ni wa kizamani sana.
 
So unataka Nairobi ikuwe na Cable Stayed Bridge?🤔🤔 Yet you are wondering why I usually call you warthog?
 
Narudia tena, MJI WOWOTE AMBAO HAUNA BRT SYSTEM, CABLE STAYED BRIDGE, MODERN AIRPORT, OR ELECTRIFIED SGR huo mji ni wa kizamani sana.
😀 😀 😀 😀 😀..usikue ukitumia akili kama kofia ya wakorino,you have your priorities as a country we have ours.at the end we take the overall rating of the city,the good and the bad combined
 
So unataka Nairobi ikuwe na Cable Stayed Bridge? Yet you are wondering why I usually call you warthog?
Kuna miji haina BRT lkn ina electrifitried SGR and vice versa na huo mji una qualify kuitwa world class city, kwa bahati mbaya ni kwamba ka Nairobi hakana chochote kati ya hivyo nilivyotaja hapo.
 
😀 😀 😀 😀 😀..usikue ukitumia akili kama kofia ya wakorino,you have your priorities as a country we have ours.at the end we take the overall rating of the city,the good and the bad combined
Hakuna World class city yoyote duniani ikakosa japo kimoja kati ya hivyo nilivyotaja, accept it and move on japo inauma.
 
Kuna miji haina BRT lkn ina electrifitried SGR and vice versa na huo mji una qualify kuitwa world class city, kwa bahati mbaya ni kwamba ka Nairobi hakana chochote kati ya hivyo nilivyotaja hapo.
Nairobi has SGR. Dar has no functioning SGR.
 
Soja leo kwani hujaongia job

Why are you posting shacks?
Oohps sorry sijamaliza 👇burka City in ARUSHA
screenshot_20220829-232335_1-jpg.2339156
..https://youtu.be/4L_9dOvAqUY. Some other residential area kando ya CBD 👇
Screenshot_20220829-224729_1.jpg
Screenshot_20220829-224746_1.jpg
kisumu hazitawahi wezana na ARUSHA hata siku moja, that will never happen my dear bro, najua unaumia lakini hakuna namna huo ndio ukweli
 
Attachments

  • Screenshot_20220829-232335_1.jpg
    Screenshot_20220829-232335_1.jpg
    102.1 KB · Views: 29
Oohps sorry sijamaliza 👇burka City in ARUSHA
screenshot_20220829-232335_1-jpg.2339156
..https://youtu.be/4L_9dOvAqUY. Some other residential area kando ya CBD 👇View attachment 2339165View attachment 2339166kisumu hazitawahi wezana na ARUSHA hata siku moja, that will never happen my dear bro, najua unaumia lakini hakuna namna huo ndio ukweli
Kisumu is better than Arusha in every matrix. Right from Aviation to manufacturing. Arusha is only ahead of Kisumu in Tourism
 
Back
Top Bottom