Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kisumu real estate.

images - 2022-08-28T170257.062.jpeg
images - 2022-08-28T172630.125.jpeg
images - 2022-08-28T154118.005.jpeg
 
Tanzania the east Africa soccer power house imetandikwa na minnows Uganda kama burukenge 🤣🤣🤣🤣 na wanajifanya hawajui
 
Tanzania the east Africa soccer power house imetandikwa na minnows Uganda kama burukenge na wanajifanya hawajui
Sisi mpira hatujui mkuu hilo liko wazi ila tuna timu imara za mpira kwa ngazi ya vilabu cz pesa tunayo tunanunua wachezaji popote duniani tunawaleta kwenye vilabu vyetu. Ndiyo maana unaona hata ngazi ya vilabu timu zetu zinafanya vizuri Afrika, usisahau pia jana Simba alishinda mechi akiwa away, kashinda 4-1.
 
What have they ever won?
 
Kukuwa mkunya kweli ni laana
Yaani huu ukweli umekuuma umekosa la kusema, kama uko na maoni mbadala weka humu with evidence, hii battle mlihara, kiukweli Uganda wamewapiga kwa malls na masoko pia.., they build quality markets kila eneo, hii ni Soroti, wako na masoko clasic sana, ata kushinda Kenya kwa maoni yangu, ata town ndogo ya Busia Uganda kwa border na Kenya kuna soko bomba..,
The best 007 usizoe matusi unapolemewa, better ufyate tu ama uweke evidence.., Uganda ni 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

Nionyeshe hizo soko zenu za kisasa with equal interior finishing kama za Uganda.., hii👇👇 sio mall...,
1661752185276.png

1661752195414.png

1661752208194.png

1661752228399.png
 
Arusha 7 - 9 Kisumu. Sasa twende kwa aviation 😂😂
Alianza mwenyewe akajiharia.., alidhani Kisumu ni only 3.., kidogo akashangaa zimefika nne.., kidogo anaona zinaendelea kuongezeka, akaanza Kiswahili kama kawaida 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom