Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Kila siku mnapost kujivunia hili jengo wacha ujinga mzee 🤣🤣🤣 vioo ndio unyama kabisaYani wewe ukiona vioo ndio umeona jengo? Hili jengo ni hovyo sana. The best built mall in Dar ni hiyo Mlimani City na haina vio. Sometimes vioo hukaa so Tacky. Inategemea zimewekwa aje. k.m, hii signature mall ni vioo tupu (na ni kali kuliko hiyo Quality Center) ila haiwezi fikia malls kama the Hub na The Waterfront ambazo hazina vioo. Jengo ni design na ubora wa ujenzi, sio vioo.
Signature Mall
![]()
![]()