Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umepost gorofa 6 mpaka sasa zenye n ten storeys
Kwanza wewe ni fala sana, 10 storeys and 10 floors are two different things. What I have posted are 9 buildings of 10 floors, and ukitaka 10 storeys then I can also post in abundant.
 
Kwanza wewe ni fala sana, 10 storeys and 10 floors are two different things. What I have posted are 9 buildings of 10 floors, and ukitaka 10 storeys then I can also post in abundant.
Mimi nilitaka upost storeys and by definition 👇
Screenshot_20220828-170834_1.jpg
umeshindwa sasa unaanza kuchanganyikiwa 🤣🤣🤣 umepost mpaka sasa 6 buildings with ten storeys
 
Yani Mzee unawatch Hadi KBC? Na tukisema Tanzanians spends 24hrs in a day thinking about Kenya mnakataa😂😂
Sina muda wa kufuatilia habari zenu unless Tanzania imehusishwa, actually hiyo meme nimeitoa huku kwenye threads zinazoonesha how you people are going crazy about Tanzania

Sina muda wa kufuatilia habari zenu unless Tanzania imehusishwa, actually hiyo meme nimeitoa huku kwenye threads zinazoonesha how you people are going crazy about Tanzania

Ungekuwa na akili ungejua kwamba that Tweet is trending because of the joke of that guy and not because of the lady. Since your head is filled with trash you can't even notice the use of "KFC" for Kenya and "TFC" for Tanzania.
 
Ungekuwa na akili ungejua kwamba that Tweet is trending because of the joke of that guy and not because of the lady.
Huyo dem saivi ndio your national debate kunako kunyaland na ni mtanzania aliepo tiktok, hii inaonesha namna how you are sick about Tanzanians
 
Huyo dem saivi ndio your national debate kunako kunyaland na ni mtanzania aliepo tiktok, hii inaonesha namna how you are sick about Tanzanians
Sasa tukianza kuleta tweets hapa za watanzania wakiongelea Kenya si utakimbia 😂😂🤣
 
Back
Top Bottom