Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Capital Center, South B

Nairobi-Fashion-Hub-Capital-Centre-Mall-_2.png
Hizi ni masoko Bro,they ain't classy .. 🤣🤣
 
We uko biased sana, mliman city ya sasa haina huo muonekano ulioweka hapo,ilishafanyiwa expansion tayariView attachment 2336594View attachment 2336595
Mimi nimepost picha ya Mlimani city. Ukumbuke pia sijaweka picha full ya Acacia Mall, nimeweka tu upande mmoja. Mganda anaweza akaja akupost picha nyingine nyingi zinazoonyesha ukubwa halisi wa Acacia. Nimefanya research, Mlimani City ina floor area ya 30,000 sq.m. Same size na Acacia mall ya Uganda ila Kampala ina malls nyingine nyingi kuliko Dar, ndio maana nikasema Kampala ina malls nyingi kuliko Dar ila rafiki zako hawataki kukubali huo ukweli. Mwenzako anatuletea apartments na offices eti ni malls. Ukiileta Nairobi, Mlimani City itakuwa ya nane kwa ukubwa - kuonyesha kwamba Nairobi ipo mbali sana ya miji mingine East Africa kwa eneo la malls.
 
Back
Top Bottom