Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Westgate Mall

17928055_303.jpg
nairobi-s-premier-shopping.jpg
 
Hapa 👆 ni apartments au ni mall umepost.? 🤣🤣🤣

🤣🤣🤣🤣 Angalia juu hapo kwenye huo upupu uliopost
Kuna mall na kuna apartments karibu na mall. Ama ulitaka ning'oe apartments kwa picha ibaki mall pekee? Mall ni hilo jengo kubwa. Hilo ndio 50,000 sq.m.
 
🤣🤣🤣 Dah so poa.. yo kenyans ifike mahala tuheshimiane manzee this is Garden City Mall which is claimed to be 50k Sam 👇View attachment 2336527vs multipurpose Mlimani city Mall 👇View attachment 2336532au hizo Sqm mnahesabu na hiyo reserved area hapo pembeni.? 🤣🤣🤣.. Garden City Mall ni tinny sana kulinganisha na Mlimani city Mall
Hii 👆post nadhani uliiona jibu hii hapo.. tukiweka Sqm2 kuanzia mall apartments na every single property vyenye vyote ni sehemu ya mall basi Mlimani city Mall is huge at least two times to Garden City Mall
Kuna mall na kuna apartments karibu na mall. Ama ulitaka ning'oe apartments kwa picha ibaki mall pekee? Mall ni hilo jengo kubwa. Hilo ndio 50,000 sq.m.
 
Post zako tuzione. Umepost mall moja pekee ukaanza maapartment. Acha kuhepa.
IMG20220827144028.jpg

iyo ni nyegezi bus terminal inakuja ipo njiani.... Na nikwambie we babu kila bus terminal kubwa lazima ila malls ndani yake utajua ujui esabu bus terminal ambazo ni huge
 
Hii 👆post nadhani uliiona jibu hii hapo.. tukiweka Sqm2 kuanzia mall apartments na every single property vyenye vyote ni sehemu ya mall basi Mlimani city Mall is huge at least two times to Garden City Mall
Umepost mall moja ukaanza kulialia. Yani wewe ni kicheko. Hiyo Mlimani City yenu ni nyumba simple kama godown halafu haina floors nyingi. Garden City ina floors kibao. Halafu hiyo 50,000 sq.m ni retail space, sio apartments. Hizo apartments haziko part of the mall. Now, post your malls and stop whining. So far umepost Mlimani city pekee.
 
ila
Westgate Mall

17928055_303.jpg
nairobi-s-premier-shopping.jpg
Ila nkikumbuka tukio la westgate ndio nkajua wakenya wanajisifu bure wakenya mnanjaaa sana adi maafisa polisi walkua wanaiba sembe badala ya kupambana.. ndio ujue mnanjaa sanaaa na amjui kupambana ata na hao vibaka wa alshabibi cjui
 
Umepost mall moja ukaanza kulialia. Yani wewe ni kicheko. Hiyo Mlimani City yenu ni nyumba simple kama godown halafu haina floors nyingi. Garden City ina floors kibao. Halafu hiyo 50,000 sq.m ni retail space, sio apartments. Hizo apartments haziko part of the mall. Now, post your malls and stop whining. So far umepost Mlimani city pekee.
🤣🤣🤣 Heb wacha kuchekesha watu
 
Aura mall the third biggest Mall in Dar so far 👇View attachment 2336539sky City mall 👇View attachment 2336541View attachment 2336542View attachment 2336543quality center mall 👇View attachment 2336545malls in Dar seem to different, ni gorofa kali za vioo tu, very classy
Yani wewe ukiona vioo ndio umeona jengo? Hili jengo ni hovyo sana. The best built mall in Dar ni hiyo Mlimani City na haina vio. Sometimes vioo hukaa so Tacky. Inategemea zimewekwa aje. k.m, hii signature mall ni vioo tupu (na ni kali kuliko hiyo Quality Center) ila haiwezi fikia malls kama the Hub na The Waterfront ambazo hazina vioo. Jengo ni design na ubora wa ujenzi, sio vioo.

Signature Mall

39811537_1037893569722420_7407055295366561792_n.jpg
39872856_1037893563055754_3520916371380633600_n.jpg
 
Back
Top Bottom